Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

mkuu hamas wametoa tamko kuwa wanaua raia wa kigen kvtuma ujumbe kuwa israel sio sehemu salama ya kwenda. ambacho huelewi nini we mvaa kobaz
Na hili ndilo tatizo. Udini. Ukishatumia ushabiki wa kidini ni vigumu sana sana kuona nilichouliza. Na mbaya zaidi, mfumo wa elimu yetu unafanya watu washindwe kusoma kwa ufahamu. Nilichouliza na unachojaribu kujibu ni vitu viwili tofauti.
 
hutakubaliana na ukwel kwa sababu unawatetea wafuasi wenzako wa mnyanzi mungu, akina ksm walikuwa wanawaita aljazeera mafichoni huko na kufanya interview jinsi wanavotekeleza matukio ya kutisha,

sawa msomi wa kuruani takatifu tumekuelewa.
 
Wakati anauwawa alikua kwenye hayo magwanda?

Vp mtanzania mwingine, Clement, nae kuna picha yake akiwa kapigilia hayo mavazi?

Kwanini Palestine hawatoi tamko kukanusha au kutoa upande wao wa story badala ya nyie kuja na utetezi wenu wa kuungaunga? Hili nalo linahitaji ruhusa ya Israel?

TZ imeiunga mkono Palestine toka enzi za Nyerere aliyekua mkatoliki kindakindaki just for them to give this payback. Hakuna cha maelezo, pole wala jitihada zozote zile. Smh
Yaani ameuwawa Israel, halafu Palestina watoe tamko? Huyu Joshua alikuwa Israel kwa mwaliko wa serikali ya Israel. Israel ndio inatakiwa ieleze kwa nini wameshindwa kumlinda Joshua, na kwa nini ameuwawa nchini kwao.
 
hutakubaliana na ukwel kwa sababu unawatetea wafuasi wenzako wa mnyanzi mungu, akina ksm walikuwa wanawaita aljazeera mafichoni huko na kufanya interview jinsi wanavotekeleza matukio ya kutisha,

sawa msomi wa kuruani takatifu tumekuelewa.
Mimi siyo muislam bali najaribu kuhoji! Sawa sawa! NB: Bongo elimu ya kukariri inafanya watu wakariri maisha ya ki-Yanga na Simba. Ubishi na ku-side na upande bila kutumia akili!
 
Mimi zungumzeni yoote leteni propaganda zoote ila waliomuua Joshua ni waisrael. Halafu haya mambo ya kusema et wao ni wachaguliwa wa Mungu sijui nn ni ujinga tu na hayana maana yoyote. Wale ni wauwaji. Kama sio Leo basi kesho haki kwa wapalestina itapatina tu. Mimi si muislam na Wala Sina ushabiki wa kidini. Ubabe wa marekani na Israel kwa Imani yangu utaendelea lakini wao pia hawatakuja wakae kwa uhuru na amani. Joshua kauwawa na hao hao waisrael.
Akati HAMAS ndo wamemuua, hivi nyie waislamu mna nn lakinii? Khaaah
 
Narudia. Kufananisha mazingira ya kuuawa kwa Gaddafi na huyu kijana ni ujinga!
Ujinga kivipi wakati gadafi aliwaomba wauaji wake wasimuue lakini wakamuua, joshua akuomba hao wauaji wasimuue ila wakamuua, sasa tofauti iko wapi tena wote walifanya hayo mauaji wakimtamka mnyanzi mungu.
 
Mimi siyo muislam bali najaribu kuhoji! Sawa sawa! NB: Bongo elimu ya kukariri inafanya watu wakariri maisha ya ki-Yanga na Simba. Ubishi na ku-side na upande bila kutumia akili!
sawa phd holder wa kuruani takatifu, nimekusoma.
 
Ni bora ungechagua kukaa kimya na kunyamaza kuliko kuonyesha rangi yako.

Hapa duniani tunapita na kila mmoja wetu ipo siku ataonja umauti.
 
Mi nnacho jiuliza kwa nn Joshua alikuwa anaishi mazingira au sehem ambyo c salama kwake
 
Yaani sioni namna mnaweza kukisafisha hicho chama cha Hamas kwenye hili. Hiyo picha ni photoshopped. Huenda mleta mada hukua unajua hilo.
Hakukua na justification yoyote kumuua Joshua.
Hao washenzi udini na ujinga umetamalaki kwenye mabichwa yao sawa na wenzao wengi waliojazana huku Afrika.
 
Hvii inakuwaje mtu unaua mwenzio kikatili hivi au kwa sababu mweusi ?hebu fatilien kwa kina huyo kijana ni nani najuta sana kuangalia hiyo video halaf et wanasema Mungu Mkubwa?Mungu huyu huyu anaekataa kuua laa!
Unamuagiza nan afuatilie wewe ndiyo unataka hizo taarifa kwa hiyo ni wajibu wako kuzifuatilia sio kuagiza wenzako wewe umejificha ndani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kufuatilia story yako ila nimeshidwa nishike lipi maana kuna baadhi ya picha zipo edited
Any way nimeichukia sana vita hii kuliko vita yoyote iliyowahi kupiganwa duniani
Wameemuua Joshua kwa ukatili mkubwa sana nitashangaa kama mamlaka haitatoka hadharani kuiambia dunia hili lililotendeka na kukemea kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom