granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
umesikia utetez wa hamas wenzako kuhusu kuua raia wa kigeni?Tatizo la elimu yetu ya kukariri? Nauliza hivi kwa sababu situation hazifanani hata kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesikia utetez wa hamas wenzako kuhusu kuua raia wa kigeni?Tatizo la elimu yetu ya kukariri? Nauliza hivi kwa sababu situation hazifanani hata kidogo.
Na hili ndilo tatizo. Udini. Ukishatumia ushabiki wa kidini ni vigumu sana sana kuona nilichouliza. Na mbaya zaidi, mfumo wa elimu yetu unafanya watu washindwe kusoma kwa ufahamu. Nilichouliza na unachojaribu kujibu ni vitu viwili tofauti.mkuu hamas wametoa tamko kuwa wanaua raia wa kigen kvtuma ujumbe kuwa israel sio sehemu salama ya kwenda. ambacho huelewi nini we mvaa kobaz
udini ni kitu mbaya sana kibibi kimebakisha fuvu tu kichwaniWewe umezitazama picha vizuri na umemuelewa mleta mada alichokiwndika?
Mchezo wa kuigiza huo.
Narudia. Kufananisha mazingira ya kuuawa kwa Gaddafi na huyu kijana ni ujinga!umesikia utetez wa hamas wenzako kuhusu kuua raia wa kigeni?
hutakubaliana na ukwel kwa sababu unawatetea wafuasi wenzako wa mnyanzi mungu, akina ksm walikuwa wanawaita aljazeera mafichoni huko na kufanya interview jinsi wanavotekeleza matukio ya kutisha,Na hili ndilo tatizo. Udini. Ukishatumia ushabiki wa kidini ni vigumu sana sana kuona nilichouliza. Na mbaya zaidi, mfumo wa elimu yetu unafanya watu washindwe kusoma kwa ufahamu. Nilichouliza na unachojaribu kujibu ni vitu viwili tofauti.
Yaani ameuwawa Israel, halafu Palestina watoe tamko? Huyu Joshua alikuwa Israel kwa mwaliko wa serikali ya Israel. Israel ndio inatakiwa ieleze kwa nini wameshindwa kumlinda Joshua, na kwa nini ameuwawa nchini kwao.Wakati anauwawa alikua kwenye hayo magwanda?
Vp mtanzania mwingine, Clement, nae kuna picha yake akiwa kapigilia hayo mavazi?
Kwanini Palestine hawatoi tamko kukanusha au kutoa upande wao wa story badala ya nyie kuja na utetezi wenu wa kuungaunga? Hili nalo linahitaji ruhusa ya Israel?
TZ imeiunga mkono Palestine toka enzi za Nyerere aliyekua mkatoliki kindakindaki just for them to give this payback. Hakuna cha maelezo, pole wala jitihada zozote zile. Smh
Mimi siyo muislam bali najaribu kuhoji! Sawa sawa! NB: Bongo elimu ya kukariri inafanya watu wakariri maisha ya ki-Yanga na Simba. Ubishi na ku-side na upande bila kutumia akili!hutakubaliana na ukwel kwa sababu unawatetea wafuasi wenzako wa mnyanzi mungu, akina ksm walikuwa wanawaita aljazeera mafichoni huko na kufanya interview jinsi wanavotekeleza matukio ya kutisha,
sawa msomi wa kuruani takatifu tumekuelewa.
Akati HAMAS ndo wamemuua, hivi nyie waislamu mna nn lakinii? KhaaahMimi zungumzeni yoote leteni propaganda zoote ila waliomuua Joshua ni waisrael. Halafu haya mambo ya kusema et wao ni wachaguliwa wa Mungu sijui nn ni ujinga tu na hayana maana yoyote. Wale ni wauwaji. Kama sio Leo basi kesho haki kwa wapalestina itapatina tu. Mimi si muislam na Wala Sina ushabiki wa kidini. Ubabe wa marekani na Israel kwa Imani yangu utaendelea lakini wao pia hawatakuja wakae kwa uhuru na amani. Joshua kauwawa na hao hao waisrael.
Ujinga kivipi wakati gadafi aliwaomba wauaji wake wasimuue lakini wakamuua, joshua akuomba hao wauaji wasimuue ila wakamuua, sasa tofauti iko wapi tena wote walifanya hayo mauaji wakimtamka mnyanzi mungu.Narudia. Kufananisha mazingira ya kuuawa kwa Gaddafi na huyu kijana ni ujinga!
sawa phd holder wa kuruani takatifu, nimekusoma.Mimi siyo muislam bali najaribu kuhoji! Sawa sawa! NB: Bongo elimu ya kukariri inafanya watu wakariri maisha ya ki-Yanga na Simba. Ubishi na ku-side na upande bila kutumia akili!
Hamas wenyewe wametoa tamko kuwa wanaua raia wa kigen kutuma ujumbe, hapa wavaa kobaz wanasema tofauti.Akati HAMAS ndo wamemuua, hivi nyie waislamu mna nn lakinii? Khaaah
We unawaona magaidi kwao wanawaona wanapigania UhuruKisa magaidi Hamas yameumbuka? Idiot kabisa wewe mwarabu koko
Utawafanya nini yaanNyie magaidi mtalipa tu
Waarabu wenu waliopo hapa Tanzania watalipa
swali la kijinga sanaMi nnacho jiuliza kwa nn Joshua alikuwa anaishi mazingira au sehem ambyo c salama kwake
Unamuagiza nan afuatilie wewe ndiyo unataka hizo taarifa kwa hiyo ni wajibu wako kuzifuatilia sio kuagiza wenzako wewe umejificha ndaniHvii inakuwaje mtu unaua mwenzio kikatili hivi au kwa sababu mweusi ?hebu fatilien kwa kina huyo kijana ni nani najuta sana kuangalia hiyo video halaf et wanasema Mungu Mkubwa?Mungu huyu huyu anaekataa kuua laa!