Uchaguzi 2020 PICHA: Ingetokea kada wa CHADEMA ndiye angetinga hivi kwenye mkutano wa mgombea wa CCM, angetoka salama?

Nilimuona huyo jama asbh, Kama vile alijishitukia! lakini baadae aliendelea kumskiliza kamanda Kisu akishusha nondo za ukweli!! Kwanza alianza mgombea ubunge ndg Komanya akishusha nondo!!CDM rahaaaa!!
 
Na mimi nilikuwa namtizama live. Ukweli ni kwamba body language yake ilionyesha kuwa amemkubali TL. Nakwambia huyu anampigia kura Lissu tarehe 28 Okt 2020. Usimpige mpinzani wako wa kisiasa, mpe ujumbe. Actually, hakuwa yeye tu.

Walikuwepo wengi wenye nguo za CCM. Ila yeye alionyesha interest kubwa sana kuliko wenzake ambao walikuwa mbali kidogo. Halafu kijijini watu hawakatai nguo. Wanachukuwa lakini kura wanampa wanayempenda.
 
Chadema hatuna muda na Majambazi ya CCM
 
Huyo chadema kajivalisha nguo za ccm halafu mmempiga picha
Chadema kwa usa mmeshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…