Uchaguzi 2020 PICHA: Ingetokea kada wa CHADEMA ndiye angetinga hivi kwenye mkutano wa mgombea wa CCM, angetoka salama?

CCM MATAGA ni chama cha wahuni.

wameiharibu CCM yetu ya Mwalimu (RIP mzee wetu).
 
Anaweza akawa pia ni team ya Lisu, achana na mavazi kuna mengi sana nyuma ya pazia
 
Uchaguzi wa 2010 mlikua mnajeruhi vibaya mno. Hata kama mtu anajipitia njian pasipo na mkutano mnamzomea na kumfanyia fujo.Mambo yamebadilika mmebaki walalamikaji.
 

Daaah! Hawa Punda hawana akili kabisa,yaani umue mtanzania mwenzako ambaye ni mpinzani kisheria/ki-katiba kisa siasa uchwara,ukishakua mwana CCM akili ndiyo basi tena,labda uwe nazo zakuvukia barabara tu.
 
Mimi nauliza tu sina maana mbaya, hivi hii mikutano ya kila siku karibia mwezi wa pili huu na mikutano ni kutoka asubuhi mpaka jioni na wanajaza sio ishara kwamba watu wengi hawana kazi? au uzalishaji nchi hii unafanywa na wachache wengi tupotupo tunasindikiza tu. Maana sipati picha kweli nikashinde siku nzima sehemu hata kama harusi tunafanya au sherehe yoyote tunafanya siku za weekend au nje ya muda wa kazi. Hii ni ishara mbaya kwa kweli...
 
Mbona anaonekana amesimama mahali pamoja?? Na haongei na simu
 
Delete ccm Oct 20
 
Picha ziko wapi ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ujaelewa sasa hao unaowaona hapo wamekuja kumshangaa lisu ila ni CCM pure.hauwezi ukavaa nguo za ccm kwa wanachadema wakaacha kukuzomea kamwe.
 
Kwani huwa hawaendi, ueye kavaa nguo yake kisha mkutani umemkuta amevaa sasa asiende kisikiliza?
Na kama atavutiwa na sera za chama hapohapo si ndio angevua jezi akapewa gwanda?
Kwani wale watu wanovua nguo na kuvaa za chama kipya huwa wameandaliwa au huvutiwa na sela na palepale anabadilisha na huo ni kitu ya kawaida tu.
 
Hilo nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…