Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Siku za mwisho za maisha ya Mengi zilikuwa ni za fedheha sana nikikumbuka zile video zake nacheka sana..sasa binti mbichi kama yule utarajie nini kama si kuwa na mtu kando
 
nichukue nafasi hii kuwanasihi ndugu zangu wamechame,acheni hizo,,mengi alimuoa huyo binti akiwa na aakili timamu kabisaaaa,na hakuna mtu alimlazimisha,Nduguzanguni wamachame inabidi mkubaliane na ukweli mchungu tu,mali zinahamia chibtoke
Mali za mwingine wanaopata hasira wengine! Hahaa
 
Hili jamaa nalijua. Linatoka lebanon. Sidhani kama ni balozi. Yalikuja dsm yakiwa matoto kabisa.
Element ikawatoa.
Kiufupi mwarabu ni mwarabu tu.
 
Marehemu hana haki
Ila warithi wake wana haki...ambao ni watoto wake hvyo nae kama aliandika kuhusu mirathi yake automatically Mali zitaangukia kwa watoto wake...


Anyway haya ni mambo ya kifamilia Ila kwa vyovyote itakavyokuwa watakaofaidika wa kwanza watakuwa watoto wakubwa wa marehemu kisha huyo Jacky na watoto watafuata.
 
Yani watu wote humu hamjui mnachokiongea mmekalia chuki tu kuongea kwa mihemko hata sheria hamjui kwa taarifa yenu kisheria wale watoto wadogo ndio wanaurithi mkubwa kushinda wote wale wana 50% hizo zinazobaki ndo wanagawana wakubwa na mjane alieachwa watoto wanapewa urithi mkubwa kwasababu hawajitegemei bado wadogo ndo maana hata Magu aliwapa watoto wa jacky rambi rambi hamjiuliz kwanini hakumpa yule kijana punguzen chuki kuongea msichokijua
 
Video ya baba.ndio ilinipunguzia hasira, waremavu wanazimia yeye tuliiiii
Yani wabongo na angezimia mngesema mnafek bora yeye sio mnafki wala kuzimia au kulia sana haimaanishi huna uchungu muache chuki kwa mwanamke mwenzetu
 
Uongo, nakubaliana na ww kuwa watoto wana mgao mkubwa ila syo mjane, mjane ana mgao wa kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…