Madam alimzawadia kitumbua waziri kijana wa enzi zile. Madam na Klyn walikua ma best, mzee hakwenda mbali.
Hayo ndiyo mambo ya mujini.
Yaa hapakuwepo na haja ya kuoa dogo dogoMi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Sicho nilichouliza ila twende hivo hivo je ndoa ikivunjika kwasababu ya uzinzi kuna mtu atakosa haki yake ya kugawana vyote mlivochuma kwenye ndoa sababu tu alichepuka?
Kama haya yanayosemwa yana ukweli na Mengi kaacha will inayompa Jackie percentage kubwa kuliko watoto wakubwa basi lawyers wajiandae kuvuna mpunga mrefu maana naona kuna kesi kubwa inakuja muda si mrefu ujao.
Kwakweli leo mambo ni mengi...sikiaLeo ndio siku kifurushi kingeuzwa hata laki watu wangenunua
Mkuu kwani muda huu wewe unatafuta pesa?Wabongo baadala ya kutafuta pesa,mnachunguza maisha ya watu,kwanza hilo li picha,limetengenezwa tu,wala sio Jack huyo,na kama ni yeye hiyo picha imepigwa baada ya Mengi kufa,?kwanini hiyo picha haikutoka kabla,mwezi uliopita,mwaka Jana?!!!
😂 😂 😂 😂Mkuu kwani muda huu wewe unatafuta pesa?
Na vp unatafuta nini huku?
Atabaki na fenicha tu ule mjumba ndio bye bye tena msiba ukiisha akatafute pa kulala
Kwani klyin ana haki gani . Unajua Mali yote kaikuta . Mali yote alitafuta Mzee Mengi na Mkewe mkubwa ambaye ni marehemu na pia hao watoto wake wakubwa wemefanya kazi ya kuikuza hiyo kampuni ya Mzee Mengi . Kylin asubiriage huruma ya wale watoto mapacha. Yeye Kylin Hana chakeHivi ukigundulika kwamba ulikuwa unacheat katika masuhiano ndio kigezo cha kumpokonya mtu haki yake?
Hiyo Kesi itaisha haraka Sana kwasababu Mke mkubwa wa Mengi marehemu ana haki kuliko huyu Kylin aliekuja Mali zikiwa zimechumwa Tayari. Kylin hapewi kitu wale watoto watapewa wakapewa kiasi Kwa huruma ya watoto wakubwa Wa MengiKama haya yanayosemwa yana ukweli na Mengi kaacha will inayompa Jackie percentage kubwa kuliko watoto wakubwa basi lawyers wajiandae kuvuna mpunga mrefu maana naona kuna kesi kubwa inakuja muda si mrefu ujao.
Mi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Hiyo Kesi itaisha haraka Sana kwasababu Mke mkubwa wa Mengi marehemu ana haki kuliko huyu Kylin aliekuja Mali zikiwa zimechumwa Tayari. Kylin hapewi kitu wale watoto watapewa wakapewa kiasi Kwa huruma ya watoto wakubwa Wa Mengi