PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Ona sasa kunibania riziki🧐,.
Sema ukute hata alishakufaga zamani😂😄
Kwajinsi mnavyoihadithi JamiiForums kweli imetoka mbali
Naangalia PM za zamani hapa aisee, nimeona PM za Ben Saanane Dah 😓😓😓
 
Huyo ben ningekuwepo enzi hizo ningeomba usajili ni mwanaume jasiri sana.!!
Nimepitia nyuzi zake zilikuwa za moto sana halafu sio muoga na hana nidhamu ya woga.!! 😻
 
Aisee nazisoma hapa alikuwa ananichana makavu na alikuwa anamsifia Mheshimiwa Nape Nnauye coz wote walisoma India 🤣🤣🤣
 
Nipe kitengo Mimi basi maana Mimi ni Jasiri sana halafu ni gentleman 😍😍😍
 
😹😹😹 Mi pasua kichwa siku mbili hunitaki tena 🤣
Linatakiwa mwanaume kweri kweri
 
Aisee nazisoma hapa alikuwa ananichana makavu na alikuwa anamsifia Mheshimiwa Nape Nnauye coz wote walisoma India 🤣🤣🤣
😹😹😹 Ningemchokoza mpk akome, bahati yake sijamkuta.!!
 
Enzi hizo kila mtumiaji anasoma na kuzingatia kanuni za jukwaa.

Heshima na kulinda utu vilidumiahwa miongoni mwa users
Saaàana sana, aiseeee ilikua inatisha Sana! Scandals zilikua na full evidence
 
Halafu mzee Masanilo niliwahi kuambiwa ni PhD holder kabisa hahaha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…