PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Ndio raha ya utandawazi, tunajochanganya watu wa rika zote bila kubaguana, sasa kama mzee kama mimi naweza kukutongoza na kukuweka...πŸ€ͺdunia inaenda kasi sana!
Dunia inaenda kasi sana,.

Unajiwazia wewe wakati kuna mizee na ya 1962 huko inadate vitoto vya 2006πŸ˜₯πŸ˜‚.

Utandawazi mbaya sana
 
Hongereni sana aisee,.
Kweli tunatakiwa tuwe na adabu,. Kuna wazazi humu
 
Nakumbuka kipindi natumia simu ya NOKIA EXPRESS MUSIC na BROWSER ya OPERA, basi kuload JAMBO FORUMS ilikuwa inanichukua zaidi ya dakika tano.. πŸ˜‚
 
Watu tulianzia darhotwire ikapotelea mbali sema watumiaji wengi walikuwa watu waliyo mbele huko

Ova
Nimekumbuka mbali kweli; zama za Dar Hot Wire, Bongo 5.
Zama hizo jamaa wa Jahazi - Clouds FM karibia kila siku lazima waisakane Jambo Forum; wakiidhihaki kuwa ni jangwa forum.
Sikuwa nimejiunga, japo nilijiunga baadaye kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…