Ndio raha ya utandawazi, tunajochanganya watu wa rika zote bila kubaguana, sasa kama mzee kama mimi naweza kukutongoza na kukuweka...🤪dunia inaenda kasi sana!
What???? Mungu wangu!1996 mama yangu ndo yupo form 3
PoaMambo vipi?
Mwagoko ngaroNafumile Igangabhilili.
na sisi tutaheshimiwa tuHongereni sana aisee,.
Kweli tunatakiwa tuwe na adabu,. Kuna wazazi humu
E minza….Mwagoko ngaro
Una umri gani mchumbaHongereni sana aisee,.
Kweli tunatakiwa tuwe na adabu,. Kuna wazazi humu
Mhola sana father mambo kinehe?E minza….
😅Mwanangu mbona kama umeumia sana broo wazee wanatutambiana sisi tutaheshimiwa tu
muda sio ukuta
Mig33beta nilikua active member!!Nakumbuka baadaye zikaingia Mig33, the grid maisha yalikuwa raha sana 😃
Sio hiyo😎KadaMpinzani ni ya kwako?
Na sisi tujitengeneze utawala wetu😅Mwanangu mbona kama umeumia sana broo wazee wanatutambia
Serious 2033 wala sio mbali☺️na sisi tutaheshimiwa tu
muda sio ukuta
Yaani we acha tu,. Ningesema tatizo kuna watu wananiheshimu humu😥😄😂Una umri gani mchumba
Hapo utakuwa na umri gani mamaSerious 2033 wala sio mbali☺️
Aah taratibu basi🤒Kumbe u miongoni mwa watoto wa afu mbili.
Dad, i wanna be your son 🤩🤩🤩Aisee nimecheka sana!
I’m old enough to be your dad 🤣.
Ujue Tatzo la bongo ni moja watu wana kuuliza kazi yako, 👉umri, 👉elimu yako, 👉na mahali unapoishi Iliwaamue ni heshima kiasi gani? wanatakiwa wakupe 😅the only solution ni kuweka password kweny hivo vituYaani we acha tu,. Ningesema tatizo kuna watu wananiheshimu humu😥😄😂
Zipo bush huko bado tena zinaandikwa hivo hivo internet cafeHivi Internet cafe bado zipo?