PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Heshima yako mkuu,. Laah πŸ€”πŸ€”

Sema zamani mlikua mnaajiriwa mkiwa bado wadogo,.
Nimeajiriwa Nikiwa na Miaka 31 πŸ˜€πŸ˜€
Hapo Nishachanganyikiwa na Shule..
Chuo nishapiga Miaka 6 Kitaa nishahustle kama Miaka 4 au mitano hivi ndo nikapata Ajira ya Serkali..
πŸ˜…πŸ˜…
Nilibakiza Miaka 14 Iwe Kikomo cha Kuajiriwa Serkalini so Niliajiriwa na Miaka 31..
 
Ehh Lora?? Mkuu hiyo lora si id ya kike? 😹😹😹
Ulikuwa unaombea afu tatu za watu pm Manyanza 😹🀣🀣
 
Aah baaasi inatosha .So Ur turning 53 this year🧐
Kweli tuko na wazazi humu
Heshima yako mkuuπŸ™‹β€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…