PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

2006 nilimaliza form six ila mambo ya jamii forum nilikua sijui hata simu sijawahi kuwa nayo enzi hizo! Zile simens na Motorola ilikua mwiko kugusa
 
Hatari sana ile JF, siasa za moto mnoo BAN zilikuwa za kugusa tu, tofauti na sasa uhuru umezidi
 
2010 nlitengeneza account ya kwanza, nikasahau password yake na nikasahau password ya yahoo mail yangu.

Nilifahamu Jamiiforums kupitia magazeti enzi hizo Dr Slaa yuko moto kweli.
 
Nilijiunga jambo kwa username Kingsley nikiwa inspired na preason break character kale ka Nokia kakapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…