Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

Achana nao hao hawana tofauti na huyo mnijeria, wanadhani kila mtu anajua kila kitu.
 
Kuna jamaa nilichat naye akijifanya yeye ni Cathy Lien, nilienda naeeeenikimuuliza maswali kadhaa mwisho wa siku akachoka yeye, hakunitafuta tena.

NB:hizi mambo za cryptocurrency wanalizwa watu wengi sana
 
Umejuaje kama katokea lagos mashambani 🤣
 
Kwa hiyo kama nyie mnajua mmeona mleta mada ni mjinga kuleta stor yake hapa

Common sense
Mkuu kwani wabongo hautuelewi? Sifa kubwa ya mbongo tena mwana JF ni ujuaji, humu ndani wajuaji wengi mno.

My take; post ni elimu kwa wengine binafsi hua napokea mail nyingi toka kwa hawa scammers wa mitandani.
 
Kwa hiyo wewe code number ya nigeria huijui? Basi ata ya marekani 😳,ulikuwa huna haja ya ku google 🤣
Kuna ulazima gani wa kuijua?
Na kuna kosa gani kui google kujua ni ya wapi? Hiyo si ndiyo kazi ya search engines, ya nini arundike kichwani vitu visivyo na faida?
 
Hata sikumbuki mara ngapi nakutana na huu utapeli wa kishamba
Wapumbavu sana hawa jamaa. Sema wajinga wa aina hii ukiwakalia kimya wataendelea kujiona washindi, dawa ni kuwachana chana tu namna hii.
 

Mbona hujatupa mpaka mwisho alisemaje????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…