Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri.
Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi mbongo tena mchana kweupe, tena katika nchi ambayo kila mtu anatakiwa kuwa mafia ili maisha yaende.
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi. Namuonea huruma sana kijana, hapa najiuliza sijui nimtapeli yeye ili liwe funzo kwa wengine!
Angalia code namba yake na code namba za hizo picha mbili nilizotuma chini.
Picha ya chini kabisa jamaa amehamaki na kujaribu kujitetea kinafiki ila nikampuuza na ku block yeye mwenyewe 😂😂😂
View attachment 2504762View attachment 2504763View attachment 2504764View attachment 2504765View attachment 2504766