Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #61
Mimi ni mtu mwenye mishe zangu, kwahiyo sikuwa na muda wa kuchezea kumbembeleza tapeli. Hata hayo maongezi mawili matatu ni kwa sababu nilikuwa nipo lunch kwahiyo ndo maana tuliweza kutumiana hata hizo mesej mbili tatu.Kwanini umkate kimba wakati anaendelea kunya?
Kama wewe ni mjanja wa mjini kama unavyojinasibu, ungemsongesha hadi tuone sura halisi ya ujanja wako wa namna ya kukwepa majanga kijanja, pia tuone namna "kikulacho" alivyojishughulisha kupoteza muda wake wa kukushawishi kisha kukukosa.
Haiwezekani upigiwe na tapeli la "tuma kwenye namba hii" halafu ulitukane na kulistopisha, kisha uje kuanza kujigamba kwamba umekoswa koswa kutapeliwa!?
Hayo uliyotuonesha yalikuwa ni maongezi tu ya kishikaji hasa kwa mtu ambaye simu yake ili-missbahave na kukosea destination address halisi ya mawasiliano yake.
Pengine wewe ungeweza kutapeliwa lkn kwa mimi hilo haliwezekani hata tungeongea nae kutwa nzima huku jamaa akiwa na wenzake zaidi ya 20 wangechemsha tu mkuu.