Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #81
Muda mkuu.. nilikuwa na mambo mengine ya kufanya ndo maana sikupenda kwenda nae mbali sana.Ulitakiw uende nae hadi mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda mkuu.. nilikuwa na mambo mengine ya kufanya ndo maana sikupenda kwenda nae mbali sana.Ulitakiw uende nae hadi mwisho
Duh,watu wez kweliJamaa kachemka kwa sababu nimemchana live 😃😂😂
Ila inaonekana bado kuna wajinga wanaowaokota kila siku ndomaana hawaachi.Aaah telegram tena...huko ndo sebuleni kwao[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuu.Westerners hao ni Balaa sio Nigeria tu hata Ghana nao wako njema, Lakini Mostly tunakuwa Coined kwa Vile tu hatuna basics za kulinda taarifa zetu mitandaoni, Tuna Overshare vitu kitu ambacho kinapelekea attackers kukushambulia kirahisi
Mimi ni mjanja hata hivyo ndomaana ameshindwa kunitoa upepo.Hamna mwanzo ulikuwa unajibrag kuwa we ni mjanja[emoji2][emoji2][emoji38]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Basi mwenyewe umejiona mwaaambaaaa..Jamaa kachemka kwa sababu nimemchana live 😃😂😂
Dunia ya leo ukizubaa watu wanakuingiza chaka.Duh,watu wez kweli
Kuna watu bongo bado wanatapeliwa na waswahili wenzetu, sasa mimi nimepangua mipango ya wezi wa kimataifa afu unaona swala dogo hilo.Basi mwenyewe umejiona mwaaambaaaa..
Kumbe mwenzako ndio alikuwa field anafundishwa namna kuwa tapeli.
Mwenyewe nimefuatwa Leo, nilichomjibu hatokuja asahau.Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri.
Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi mbongo tena mchana kweupe, tena katika nchi ambayo kila mtu anatakiwa kuwa mafia ili maisha yaende.
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi. Namuonea huruma sana kijana, hapa najiuliza sijui nimtapeli yeye ili liwe funzo kwa wengine!
Angalia code namba yake na code namba za hizo picha mbili nilizotuma chini.
Picha ya chini kabisa jamaa amehamaki na kujaribu kujitetea kinafiki ila nikampuuza na ku block yeye mwenyewe 😂😂😂
View attachment 2504762View attachment 2504763View attachment 2504764View attachment 2504765View attachment 2504766
Najiulizaga huyu Binti pics zake hatambui kabisa kwamba zinatumika au hayupo duniani?Huwa wanapata wapi namba zetu??View attachment 2506480
View attachment 2506481
Hii picha sio mara ya kwanza kuiona
Jamaa bure kabisa, hata area code za nchi hazijui mpaka aka google harafu anakuja humu anajikuta mwamba mjanja kumbe hamna kitu.Kumbe wewe ndo mara ya kwanza kukutana na hao jamaa baba?
Yani mpaka umeyaleta jf unajiona kama umeachieve kitu kikubwa sana[emoji3]
Wanaitumia sana hii pichaNajiulizaga huyu Binti pics zake hatambui kabisa kwamba zinatumika au hayupo duniani?
Nilifuatwa na pics hizihizi mwaka jana, mara sijui ananipenda anataka anitumie mzigo, sasa alipofeli, akaniambia mzigo utapitia Nigeria so natakiwa kulipa fees.
Niliamua kumute.
Binti atakuwa amekufa.Wanaitumia sana hii picha
Hawa huwa wanabahatisha namba. Mfano mtu unajua kwamba namba nyingi za sim huwa zinaanza na "071" kwahiyo wanachofanya wao ni kuongeza namba zingine saba mbele ili zienee kumi afu baada ya hapo wanapima kuona kama hizo namba walizopima kuna mtu anazitumia au hazitumiwi. Wakiona hazitumiwi wanapima namba zingine mfano 071 (8193190) au 071 (7075180) hizo namba za mwanzo ambazo hazipo kwa mabano huwa haziwasumbua kwani laini nyingi za sim zinaanzaga na namb hizo ila hizo za kweny mabano ndo huwa wanabahatisha kwa kuanza na kodi namba ya nchi husika. Wakishaona mwenye namba abatumia whatss wanakuchek kwa whatsapp wakiona hautumii wanapima kukutumia meseji ya kawaida.Huwa wanapata wapi namba zetu??View attachment 2506480
View attachment 2506481
Hii picha sio mara ya kwanza kuiona
Aliekufuata ni mmatumbi mwenzetu au ni haya haya matapeli ya kimataifa kutoka nje?Mwenyewe nimefuatwa Leo, nilichomjibu hatokuja asahau.