Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

Yaani nitapeliwe hata mimi!
Basi dunia itakuwa imefikia ukingoni mwake waalah!
Kuibiwa sikatai, lakini kutapeliwa ninakataa kwa big NO!
 
Ukitaka kumpatia mpigie whatspp video kamwe hatoitika atakuletea maelezo yasioeleweka.
Kajiamini, anasema tupigiane video call muda wowote nikipata nafasi, kaniweza ila kanaweza iba sura kupitia video call.
Sasa najiuliza, inawezekana huyu mzungu Yuko hostage, maana sikutegemea jibu lile.
 
Mkuu nakuhakikishia kwamb huyo tapeli alikuwa anataka kukupima imani na akili, kwa kujifanya anakwambia eti muda wowote ukitaka video call umpigie. Ukweli ni kwamba kama ungempigia asingeitika au angeitika na usingemuona yey sura yake, na baadae angeleta visingizio kuwa sim yake ilianguka na camera ikavunjika nk.

Na kama sio hivyo basi labda awe anafanya kazi na huyo mwanamke wa pichani ili kutapeli watu.
 
Kweli kabisa.
 
Broken English. Your a Nigeria....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…