Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Vyumba viwili unapandisha Kwa shngap msinging tayar upo
Ni vyumba vya ukubwa gani mkuu? Vipi msingi umufungwa mkanda? (Zege) Kama bado unatarajia kufunga.

Kwa makadilio ya haraka mkuu nitakupandishia Kwa 260,000 mpaka level ya kupaua.
 
Ni umaskini wetu tu unatufanya tuishi maeneo yenye mbanano kama huu.

Technically ilibidi huyo mwenye nyumba bati jekundu hapo pembeni ya hii site amiliki kuanzia hapa unapoinua nyumba mpaka kule kwenye nyumba inaoyoonekana kwa mbele but ndiyo hivyo wengi wetu uchumi wa kuunga unga hatuwezi,ila kazi nzuri mkuu imetulia.
 
Uko sahihi mkuu!
Pesa ndiyo tatizo sidhani kama kuna mtu anapenda kujenga kwenye kakiwanja kadogo, ila ni uchumi tu unabana.
Kuna hiyo nyumba mbele hapo mwenyewe alikuwa analalamika amekosa sehemu ya kuchimba shimo la choo zaidi ya barazani kwake (hapo ndiyo kuna nafasi)
Ni shida kwakweli.
 
Asante mkuu na karibu pia
 
Duh, pole mkuu, hii uje uiandikie uzi kama itakupendeza.
 
Namba yako nimeisave ,siku ukiona namba inaishia na kumi jua ni mimi .

Kazi nitakayokupa nikuelekeza kwa wapangaji wangu uwe unaenda unaanza kubomoa ukuta wakati mimi sipo wakikuuliza wambie anasema hamlipo kodi bora abomoe ajue moja kuwa hakuachiwa nyumba ya urithi .

Tegemea kazi mwanzoni mwa huu uzi maana nimechoka kuchambana na wazaramo wenzangu kisa mali yangu ya urithi
 
Duh, pole mkuu, hii uje uiandikie uzi kama itakupendeza.
Yapo mengi mkuu nitajaza Seva za Jf.
Nimewahi kwenda Kongo pia (lengo kujiunga na magaidi wa M23)
Pia Somalia kipindi kile kunawaka Sana.
Ni mambo mengi mkuu na yote hayo nilikuwa chini ya miaka 20.

Nikikumbuka nabaki nacheka tu
 
Acha zako mkuu 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…