Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Timua wote mkuu waambie waende Msanga maana wazaramo wanahamia huko ndiyo chimbo lao 🀣🀣
Nilijaribu juma lililopita walinichamba mpaka nikakimbilia Mbeya mbaya nishawatongoza wote na wamenikataa yaani natamani mzee afufuke achukue nyumba zake tu
 
Nilijaribu juma lililopita walinichamba mpaka nikakimbilia Mbeya mbaya nishawatongoza wote na wamenikataa yaani natamani mzee afufuke achukue nyumba zake tu
Uza mkuu Piga bei, ukale kitimoto na bia Hela ya urithi 🀣
 
Umemkatia kipande Cha kiwanja pale kwenye viwanja vyako vya baharini au amekupa Bure 🀣🀣
Kiwanja kwa papaaa ... mmh .. Noooh.. 🀣🀣 bora apewe hati ya uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…