Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Haya mlete hizo kazi
 
Boss kasema Yeye na ACT WAZALENDO Ni "dam dam"
🤣
 
Namalizia madirisha niondoke
 
Ndani tayari Kila kitu, nje hata plasta bado! Ndiyo maisha ya tulio wengi, kikubwa jamaa kahamia kwake kiboss kabisa
 
sema kimeumana 🤣
 

Kitchen cabinet design 💡
 
maandalizi Kwa ajili ya Gypsum Board
 

Tayari Kwa plasta!
 
Verrazanno uje na huku tupandishe uzi.
Chambua kazi zote leta ukosoaji nitakujibu
 
View attachment 3511904
Kitchen cabinet design 💡

Cheki sasa na wewe.

Kitchen cabinets ziko wapi hapo ????????

Advertisement ya ujenzi wa kitchen cabinet umeweka li picha la kitchen chairs kwenye kitchen island !

Yani nafungua huku ulikonikaribisha cha kwanza nakutana na li picha scandalous....

Nadhani tatizo ni uwezo wa wataalam wetu kujieleza na ku present kazi zenu.
 
🤣🤣🤣 Ila we jamaa, ukuje nikupe kibarua mkuu utulize njaa
 
Say no more, infinito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…