Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Alionywa hakusikia. Alitegemea akienda atapewa bugger?Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Unau bwabwa wa macho ndugu wanajeshi watie miguu uone kaman haujamwagika ugali hao watampelekea matunda pale rubininsiaHao ndugu zake wa jeshi wenye vyeo hapo hawawezi kusogeza hata pua zao wanaogopa ugali kumwagika
Eu,Au,Un,BBC, aljezira,cnn nk wakati waneshazoea kuona picha za kutisha kutoka Gaza ,congo ,Sudan,nk .ushauri wa Bure kila mtu afanye KAZI yake usimsaidie mwanasiasa kufanya siasa yeye anafsidika moja Kwa moja wewe komaa na mambo yako.
Very sad kwakweli, Tanzania hatuna uongozi kabisa.......hapo juu kuna maboga tuWakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Ngoja vijana wa hovyo akina mzabzab Half american na wenzao wazipigie nyeto hizi picha ndio mkome kuweka mapaja na migongo wazi wazi hiviWakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Hatimaye tumepata fursa hii, ila hawa wanawake si waliambiwa wakae nyumbani wazae kwa uchungu nae mahakaman alifuata jasho au?Mapaja ya kichaga mabaya
Kati ya yote nadhani hili la kutokuwa na uwezo ndio linauma zaidi...yaani ni aibu kubwa mno kuongozwa na mtu aliepwaya kiasi hiki, sijui hata yeye anajionaje? Yawezekana anajiona kama bi magareth thatcher hata sielewi aisee!!Huyu mama urahisi wenyewe uwezo kichwani hana bado anataka kutoa watu roho!
Utoto unakusumbua, mbona hawaendi? Au hawajapata taarifa?Unau bwabwa wa macho ndugu wanajeshi watie miguu uone kaman haujamwagika ugali hao watampelekea matunda pale rubininsia
Ndiyo nini hii sasa mnafanya matukio ya kishenzi namna hii mchana kweupe, huku mkiwa hamna sababu ya kuwafanyia hivi wananchi?Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
chedema kuna watu hatari mno gentleman,Kupigwa Lissu ilisemwa ni wao kwa wao,huyu ni wao kwa wao,kwanini maafis a usalama wasijisafishe kwa kuwaburuza hao watu mahakamani?
Mzee Kibao wao kwa wao,Azory wao kwa wao,Ben Rabiu Saa8 hivyohivyo, kweli chama kinashinda intelijensia SERIKALI?
ni aibu sana aise dah 🐒Tena ni kibibi kizee.Badala ya kulea wajukuu yeye yupo mitaani.Asema anafuatilia kesi.Kesi ya nini?
Kwa jinsi alivyoweka mapaja sidhani kama hicho kilikuwa kipigo cha polisi kitakuwa kipigo cha yale mengineWakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Duh hatari kumbe watu walipigika hiviNgoja vijana wa hovyo akina mzabzab Half american na wenzao wazipigie nyeto hizi picha ndio mkome kuweka mapaja na migongo wazi wazi hivi
Mnasikia burdan kuwatesa wenzenu naona roho yako iko kwatuni aibu sana aise dah 🐒
malofa wakurupukaji katika kuvunja sheria na kuleta fujo kipindi cha mbowe hawakuwepo,Mnasikia burdan kuwatesa wenzenu naona roho yako iko kwatu
Ova