PreGE2025 PICHA: Kada wa CHADEMA Upendo Kileo ateswa na kutupwa Msituni baada ya kufuatilia Kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nadhani kuna haja ya kuwashtaki na kufungua kesi mahakamani,japo mahakama ya kweli ni Mungu na atajibu subirini mtaona.
 
Haka kamama huwa kjinga sana! Wangekang'oa hata meno!
 
Wasiojulikana wameanza kujulikana sasa .
 
Wanaume wazima na makende yenu mnamtesa mwanamke hivi?
 
Yawezekana nchi hii kuna kundi kubwa la watu ambao sio wazawa mana kwa asili ya watanganyika halisi huwa wana utu sana hawana roho za kikatili kiasi hiki,hata wana CCM wenye utu hawajapendezwa na hili pamoja na kwamba lina maslahi kwa chama chao hawajapendezwa na ukatili huu
 
Mtoto mpumbavu, mzigo wa mamaye, ndio wewe unajitoa ufahamu, Hakika yatakukuta,kariri Hilo jina Kimwakaleli akisema,Meno utaitoa bisi.!
 
Kweli hata huyu Mwashambwa atakuwa mzambia na Tlaahtlaah mbyamulenge hofu Yao upinzani ukiingia watarudi home kwa Asili ya baba zao si kwa Akili hizi!
 
watu ambao familia zao ziko ng'ambo mbona wengi tu gentleman na wapo humu nchini wakijifanya wana uchungu kinafiki tu ?

kwamba huwajui au?πŸ’
 
Mtoto mpumbavu, mzigo wa mamaye, ndio wewe unajitoa ufahamu, Hakika yatakukuta,kariri Hilo jina Kimwakaleli akisema,Meno utaitoa bisi.!
sasa mama na bibi wa watu kama huyo anabwebwa ufala kwa kuitwa kamanda, na matokeo yake anapeleka masikitiko nyumbani kwa wajukuu zake na majeraha ya kutisha aliyoyapata kilofa kabisa,

inasikitisha sana inafedhehesha sana πŸ’
 
Huyu mama wa macho malegevu ni muuaji.

She is a butcher. Mikono yake imeoloa damu.

Yuko tayari kuchinjachinja mtu yeyote kwa ajili ya power.

Unataka kutembea juu ya maiti za watu kuelekea Ikulu.

Shame on her
Karma itamrudia Tena mtu wa visiwani aje kuleta shida na pesa anakwiba,real bad,Tz we are slave na seriously,na Bandari kapangisha
 
Haya mambo yapo tangu kale, Nyerere hakupogania Uhuru peke yake wengine hatujawi wasikia.Ndivyo mifumo ya maisha ilivyo Mkuu!
 
sasa mama na bibi wa watu kama huyo anabwebwa ufala kwa kuitwa kamanda, na matokeo yake anapeleka masikitiko nyumbani kwa wajukuu zake na majeraha ya kutisha aliyoyapata kilofa kabisa,

inasikitisha sana inafedhehesha sana πŸ’
Hiyo Ndio promotion ya kuichukia CCM hadi kizazi Cha nne!
 
Hiyo Ndio promotion ya kuichukia CCM hadi kizazi Cha nne!
sio vizuri kuwahadaa wazazi wa watu na mabibi wa wajukuu tena waliojichokea tangu kitambo, eti kamanda, alaaa?

kamanda gani mbibi hivyo ndungu zangu wadau?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…