PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

dini inachanganya watu kiasi kwamba mtu akifanya core value za dini watu wanapinga waumini punguzeni wenge na ujinga ila najua kelele zote zinatoka fisiemu ...msilazimishe ujinga wenu uwe wa wote
 
Naam. Hilo ndilo jukumu la kanisa moja , takatifu, katoliki la mitume.

Kanisa limeyafanya hayo karne na karne. Kazi kama hiyo ilikua ikifanywa na Mtakatifu George miaka 333B.K na St. Inyasi wa Loyola wakati wa mageuzi ya Ulaya.
Nasi, tutaendelea kuifanya kazi hio vizazi na vizazi.
#Proud Catholic
 
Mauaji ya kimbari Rwanda kanisa Katoliki lilihusika unasemaje kuhusu hilo?
 
Father kanyooka kama rula ndo mana baadhi ya watu hasa watawala hawampendi.
 
Kwahiyo Lissu na Mbowe walipatana au wakina Kitime wameshindwa?
 
Hatakiwi kupatanisha kwa siri bila maboss wake kujua.
 
Mi nimechukizwa sana, nilitaka Tundu Lisu afukuzwe kabisa, kakichafua chama sana, yeye na wahuni wake wasivumiliwe kabisa.

TAL alisema yeye sio muumini wa upatanisho, kakosoa sana maridhiano ya CHADEMA na CCM, na kuyaita maridhiano ya Mbowe na mama Abdul, huyo mtu mnadhani hata aliyowaambia Fr.Kitima yamemwingia?

Kama kweli yamemwingia wamchunge muda wote, maana akiona waandishi wa habari na mic zao huwa anapagawa kabisa anaweza kuongea hata yale ya ndotoni, na hayo maridhiano atayasema yote siku akikutana na waandishi wa habari huwa hana siri, wafuasi wake wanasema ni muwazi sana, eti kanyooka.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…