Picha: Kimemkuta nini tena huyu mwanamke?

Picha: Kimemkuta nini tena huyu mwanamke?

Mwanamke au wanawake? Sababu kila picha ina sura na nywele tofauti.
Kwani hujui tabia za wanawake wa zama hizi? Kwenye vipochi manyoya vyao huwa wanabeba jozi kadhaa za viatu vya ziada pamoja na wanja za rangi tofauti tofauti
 
Tangu ujue kutengeneza picha kwa kutumia AI bas imekuwa fujo,tafuta kazi ya kufanya dogo!
Hii ndio kazi yangu mkuu. Huwa nachorea watu mitandaoni wananilipa chochote kitu. Sa hapo sijaelewa nitafute kazi ipi

N.B: Usidharau kazi ya mtu
 
Mbona wanawake wanne mkuu,
Au labda nimevuta bangi ya hammas
Ni huyo huyo mmoja mkuu. Sema ni kwa vile kwenye pochi yake kuna make up za kina dizaini. Pia pochi lake halikosi dazeni ya viatu

Wanwake wa siku hizi ni pasua kichwa
 
Hiyo ni ARTIFICIAL INTELLIGENCE kama picha za yule big anaonekana anapigana na mamba mara simba
 
Back
Top Bottom