Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
- #41
Achana naye huyo, mkuu. Ananionea wivu tuAI ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana naye huyo, mkuu. Ananionea wivu tuAI ni nini
Hata hivvyo idea ya yule big nilitengeneza mimi. Kwa hiyo hakuna kilichoharibika[emoji3]Hiyo ni ARTIFICIAL INTELLIGENCE kama picha za yule big anaonekana anapigana na mamba mara simba
Na sura tofautitofauti wanabeba pia kwenye pochi?Kwani hujui tabia za wanawake wa zama hizi? Kwenye vipochi manyoya vyao huwa wanabeba jozi kadhaa za viatu vya ziada pamoja na wanja za rangi tofauti tofauti
😂😂😂😂🐒Kwani kachora nani mkuu? Au kachora Maxence Melo?
Mabadiliko ya sura hutegemea aina ya make up wanazotumia. We hujawahi kuokota pisi inafanama na Beyonce jioni, wakati wa mizagamuano ukaona inafanania Rihanna, kesho yake asubuhi ikafanania Bi Chole?Na sura tofautitofauti wanabeba pia kwenye pochi?
Unajtetea sana! Picha inautofauti mkubwa tu kusema huyo ni mtu mmojaMabadiliko ya sura hutegemea aina ya make up wanazotumia. We hujawahi kuokota pisi inafanama na Beyonce jioni, wakati wa mizagamuano ukaona inafanania Rihanna, kesho yake asubuhi ikafanania Bi Chole?
Haaapaaana! We hujui kuwa mvua ikitandika bichwa la mwanamke mwenye nywele ndefu, nywele zake hutitia kama zilizolambwa na ndama!!?😀😀Unajtetea sana! Picha inautofauti mkubwa tu kusema huyo ni mtu mmoja
Picha nyingine nywele ndefu kuliko picha nyingine.
Chukua ushauri ili kuboresha zaidi na kuongeza umakini.
Yaishe! Naona nampigia mbuzi gitaaHaaapaaana! We hujui kuwa mvua ikitandika bichwa la mwanamke mwenye nywele ndefu, nywele zake hutitia kama zilizolambwa na ndama!!?😀😀
Hapana mkuu, mi nishaelewa, sema tu nachangamsha genge. Niwie radhiYaishe! Naona nampigia mbuzi gitaa
Sio jamaa ni robotJamaa anajua kuchora si mchezo!
Na rangi ya kucha mara grey, white, redHapana mkuu, mi nishaelewa, sema tu nachangamsha genge. Niwie radhi
😂😂😂
Robotije jamani!!? Mi nimeenda kusomea hii cozi ya IT kwa miaka minne sasa. Nipeni maua yangu tafadharini😂Sio jamaa ni robot
WoiRobotije jamani!!? Mi nimeenda kusomea hii cozi ya IT kwa miaka minne sasa. Nipeni maua yangu tafadharini😂
Simu za WaterproofHaafu mtu anawezaje kutumia simu kwenye mvua
Picha za marobot hiwa zinakuwa na WaterMark. Mfano: Powered by ElonMusk, Art by Robot Sophie n.k
Sawa artist.Picha za marobot hiwa zinakuwa na WaterMark. Mfano: Powered by ElonMusk, Art by Robot Sophie n.k
[emoji24][emoji24][emoji24]