Picha: Kimemkuta nini tena huyu mwanamke?

Utuelimishe na wengine tujue hiyo Sanaa don't die with it son
Ningewaelekeza, ila nahofia JF itachafuka vibaya sana. Kila mtu atakuwa anachora picha tu. Nyuzi za kuelimisha na matukio zitapungua sana

Mwisho wa siku JF itageuzwa jina na kuwa Photo Forums. Maxence mwisho atakufa kwa kiholo
 
Ila kwa kutumia hiyo tech unaweza kuchora aina yoyote ya mtu sio
 
OIG (3).jpeg
 
Ila kwa kutumia hiyo tech unaweza kuchora aina yoyote ya mtu sio
Wacha tuongee kwa vitendo. Em niambie nimchore mtu akiwa kwenye muonekano upi?
Jinsia yake, Umri wake, rangi yake, mood yake, akiwa anafanya nini, mazingira yake yakiwa yapi, muda upi, maandishi kwenye nguo au kwenye ukuta n.k

Nimekupa offer, jibu chap kabla sijarudi kwenye majukumu ya kulijenga taifa
 
Haha Offer accepted nichoree mvulana na msichana wa shule wamimevaa sare wanaenda shule za Saint kayumba wamebeba kiduma cha maji na mfagio
 
We jamaaa toka ukue kuchezea picha za artificial intelligence unatusumbua sana hivyoo vitu noma sana ....sasa unakuja kuuliza maswali ya kipumbavu bila story unaweza tu AI images na swali kijinga bila story ni ufala
 
Back
Top Bottom