Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
-
- #61
Ningewaelekeza, ila nahofia JF itachafuka vibaya sana. Kila mtu atakuwa anachora picha tu. Nyuzi za kuelimisha na matukio zitapungua sanaUtuelimishe na wengine tujue hiyo Sanaa don't die with it son
Ila kwa kutumia hiyo tech unaweza kuchora aina yoyote ya mtu sioNingewaelekeza, ila nahofia JF itachafuka vibaya sana. Kila mtu atakuwa anachora picha tu. Nyuzi za kuelimisha na matukio zitapungua sana
Mwisho wa siku JF itageuzwa jina na kuwa Photo Forums. Maxence mwisho atakufa kwa kiholo
Artificial intelligenceAI ni nini
SawasawaArtificial intelligence
Wacha tuongee kwa vitendo. Em niambie nimchore mtu akiwa kwenye muonekano upi?Ila kwa kutumia hiyo tech unaweza kuchora aina yoyote ya mtu sio
Haha Offer accepted nichoree mvulana na msichana wa shule wamimevaa sare wanaenda shule za Saint kayumba wamebeba kiduma cha maji na mfagioWacha tuongee kwa vitendo. Em niambie nimchore mtu akiwa kwenye muonekano upi?
Jinsia yake, Umri wake, rangi yake, mood yake, akiwa anafanya nini, mazingira yake yakiwa yapi, muda upi, maandishi kwenye nguo au kwenye ukuta n.k
Nimekupa offer, jibu chap kabla sijarudi kwenye majukumu ya kulijenga taifa
Na wewe umekubali kuachika kirahisi rahisi...Nimeachikaa.....π΅π΅
Nifanyeje Sasa π³π³ nipe mbinuNa wewe umekubali kuachika kirahisi rahisi...
Ingawa hayanaga miongozo, ila naweza kukupatia miongozo...Nifanyeje Sasa π³π³ nipe mbinu
unajua iphone wewe?Haafu mtu anawezaje kutumia simu kwenye mvua
Nasubiri muongozo....Ingawa hayanaga miongozo, ila naweza kukupatia miongozo...
Njoo tutete kidogo...Nasubiri muongozo....