PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

Pole sana ndugu! Hiyo ni pumbu erosion, nenda farmacy nunua MULTIVITAMIN tumia kama utakavyoelekezwa na muhudumu baada ya wiki mbili rudi hapa utoe ushuhuda. Fanya hivyo ndugu yangu kama hujalogwa utapona ndani ya wiki moja hadi mbili.
 
Pumbu kama got la mbuzi. Pangusa hivyo. Si tunawaambia muache ngono mnajifanya mabingwa wa kushindana na mlipotoka.
 
Pole sana ndugu! Hiyo ni pumbu erosion, nenda farmacy nunua MULTIVITAMIN tumia kama utakavyoelekezwa na muhudumu baada ya wiki mbili rudi hapa utoe ushuhuda. Fanya hivyo ndugu yangu kama hujalogwa utapona ndani ya wiki moja hadi mbili.
Hahaaaaa kuna ugonjwa unaitwa Pumbu erosion? Eti atumie MULTIVITAMIN. Hiyo ni Pangusa mkuu.
 
Kuna jamaa humu alikua na tatizo kama lako akapewa namba ya mtaalamu wa miti shamba!! akapona

Kifupi hawa fungus wamekua sugu kwasababu ya matumizi holela ya dawa
 
DR Mambo Jambo Carlos The Jackal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…