(Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

(Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022.

Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa na umri wa miaka 36 na ameacha Watoto watatu wa kiume.

Picha: Millard Ayo
Tarehe ya kuzaliwa na kufa ni tasa, ila mwezi shufwa, mwaka shufwa kwenye matukio yote
 
Nilikuwa na maswali mengi kuhusu hili, nimeona mzee anasema pamoja na kitofautiana imani lakini amemsamehe mwanae
Amsamehe kivipi?kwani mtu kubadili imani yako/yake ni lazima upate consent ya mzazi?Naamin huyu mzee hakumaanisha hivyo...mana me namuona ni mtu liberal..so altakiwa ategemee vitu kama hivyo
 
Amsamehe kivipi?kwani mtu kubadili imani yako/yake ni lazima upate consent ya mzazi?Naamin huyu mzee hakumaanisha hivyo...mana me namuona ni mtu liberal..so altakiwa ategemee vitu kama hivyo
Kuna clip mumewe anasema maunda ni anglican na alibadili kua mlutheri ili wafunge ndoa
 
Back
Top Bottom