Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alibadili din alitaka kufunga ndoa, mwez wa Saba au wa nane.Nilikuwa na maswali mengi kuhusu hili, nimeona mzee anasema pamoja na kitofautiana imani lakini amemsamehe mwanae
Wafu huwa wanakufa?Heri wafu wafao katka Bwana Yesu!
Ukiwa una maanisha nn?Tarehe ya kuzaliwa na kufa ni tasa, ila mwezi shufwa, mwaka shufwa kwenye matukio yote
Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022.
Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa na umri wa miaka 36 na ameacha Watoto watatu wa kiume.
Picha: Millard Ayo
Hasara gani kwa mtu mzima tena! Zote dini za kuja tuu kwa hiyo ni yale yaleAlifuata dini ya mama akaacha ya baba, hasara ilioje!
Naona atakuwa keshatoka makumi 7 na sasa anakimbilia makumi 8
Alibadili dini siku chache kabla ya kifo chake ili kwenda sawa na imani ya mchumba wake waliopanga kufunga ndoa siku chache zijazo.Mi mwenyewe nilikuwa najua Maunda Muislamu.