(Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

RIP Hellen Zorro[emoji120]
 
Mbona sijaona wasanii wengi kwenye huo msiba?
Hata Steve Nyerere nae kakosekana?
 
Hakuna picha ya waendesha misa ama maombi ya sala? Au kumuombea marehemu kulifanywa na Mc Pilipili ama Masanja.
 
Nilikuwa na maswali mengi kuhusu hili, nimeona mzee anasema pamoja na kitofautiana imani lakini amemsamehe mwanae
Alibadili din alitaka kufunga ndoa, mwez wa Saba au wa nane.
 

Alifuata dini ya mama akaacha ya baba, hasara ilioje!
 
Dah....kumbe umri ulikuwa umetembea kidogo....RIP Maunda.....
 
mzee zoro naye 'amepukutika' kweli kweli……...
 
Mi mwenyewe nilikuwa najua Maunda Muislamu.
Alibadili dini siku chache kabla ya kifo chake ili kwenda sawa na imani ya mchumba wake waliopanga kufunga ndoa siku chache zijazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…