Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo tamu ni traaaam!Nyumba tamu
Grand VitaraFreelander kali sana hiyo
Manka ile kilimanjaro yote maghorofa ni kawaida msee...kuanzia huku Kibosho, machame, Sanya, Hai, Uru, Kilema, marangu, mwika, Rombo mpaka tarakea ghorofa zimesimama mpaka unajiuliza upo Seychelles ama, au nasema uwongo Kibosho1 ?Kama anatoka kijiji kama Hai ghorofa ni kawaida.
Kujenga kwa siku inatakiwa uwe unajua unachofanya, kama hujui bora upatane nao kazi yote .Ukisimamia wewe mwenyewe, vifaa ukanunua mwenyewe, mafundi ukawalipa kwa siku ukajenga pole pole bila haraka 130 -150 maxmum zinatosha.
Hai ni kijiji?Kama anatoka kijiji kama Hai ghorofa ni kawaida.
Hii kwa vijiji vya BK hii ni nyumba ya kawaida sana.
Kweli kabisa nyumba kama hiyo ni ya kawaida sana kwenye maeneo uliyotajaManka ile kilimanjaro yote maghorofa ni kawaida msee...kuanzia huku Kibosho, machame, Sanya, Hai, Uru, Kilema, marangu, mwika, Rombo mpaka tarakea ghorofa zimesimama mpaka unajiuliza upo Seychelles ama, au nasema uwongo Kibosho1 ?
Duh!Kujenga kwa siku inatakiwa uwe unajua unachofanya, kama hujui bora upatane nao kazi yote .
Mafundi wanaweza kukuchezea sinema ukalipa pesa nyingi kwa muda mrefu
FAHAMU MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO (+255-657-685-268)
Mbona iko kijijini, ni nyumba ya Manyerere Jackton na hajarogwa.Unataka kurogwa?