Picha: Kujenga nyumba kama hii kwa kijijini inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?

Picha: Kujenga nyumba kama hii kwa kijijini inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?

Inategemea wewe unataka utumie vifaa vya aina gani, finishing ya namna gani...nk. Yote hayo yanaendana na urefu wa mfuko!

Kwangu mimi siwezi kuwa na jibu hapa. Mwenzio anaweza taka atumie tiles za mchina, mwingine akataka za Spanish nk.

Daima ujenzi unaendana na kipato cha mtu. Nyumba ya million 100 kwa Masanja inaweza kuwa ya million 500 kwa mwingine. Ni taste na uwezo wa mtu.
 
Ukisimamia wewe mwenyewe, vifaa ukanunua mwenyewe, mafundi ukawalipa kwa siku ukajenga pole pole bila haraka 130 -150 maxmum zinatosha.
Kujenga kwa siku inatakiwa uwe unajua unachofanya, kama hujui bora upatane nao kazi yote .
Mafundi wanaweza kukuchezea sinema ukalipa pesa nyingi kwa muda mrefu
 

Nani anajua hicho kijijini?
Nani anajua matofali yanapatikanaje?
Nani anajua Mchanga uko umbali gani?
Nani anajua cement na mabati ni kiasi gani?

Mtu mwenye uwezo wa kujinga hii nyumba kijijini lazima a nayo kubwa zaidi mjini kwa hiyo:

Ana udhoefu wa kujenga
Anajuana na mafundi
Anaweza wapeleka wakampa estimate

Una matatizo!
 
Kujenga kwa siku inatakiwa uwe unajua unachofanya, kama hujui bora upatane nao kazi yote .
Mafundi wanaweza kukuchezea sinema ukalipa pesa nyingi kwa muda mrefu
Duh!
 
[emoji116][emoji116][emoji116]

FAHAMU MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO (+255-657-685-268)

Fahamu gharama ujenzi wa nyumba yako kwa kila steji kama MSINGI, KUTA, PAA, RANGI, DARI, MAJI, UMEME... ili uweze fanya tathimini ya uwezo wako kama upo chini au juu sanaaa na uanze kuweka mipango mikakati vyema ya kuweza kufanikisha ujenzi wa nyumba yako!
20210529_124307.jpg
 
Back
Top Bottom