Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukilala bila kuoga ni wewe umependa au baridi maana airport kuna baridi htr,,
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukilala bila kuoga ni wewe umependa au baridi maana airport kuna baridi htr,,
Yn yale maji ya mwisho ya kusuuzia nguo unaweza ht kupikia msosi
 
Na chuo cha Mzumbe nao wana jengo lao lina floor 3 lina lift😂😂😂 Hili alizindua Magufuli mwenyew mwezi wa 5 Tarehe 1 2019 😂😂😂

K’s hospitali nao wana moja inamaliziwa soon, Ila Mbeya imechachamaa saiv😂😂😂😂😂
 
Wao waache waendelee kupiga porojo, wakustuka kumekucha na ndo wanavuta shuka 😀😀😀😀😀😀
 
Wao waache waendelee kupiga porojo, wakustuka kumekucha na ndo wanavuta shuka 😀😀😀😀😀😀
Lift ambazo zipo mbeya hazifanyi kazi kuna ile ya Maranatha pale kuna mda wanazuia kutumia. Kuna siku nilienda pale nikapanda kwa mguu aisee arifu ni hatar
Nyingin ni ya K’s hospitali kwa sabab pale wanajenga ghorofa nyngn ambalo nahis litashabiiana na Maranatha
Ila mbeya kuna uzur wake lkn ubaya wa mbeya ni the way mji ulivojipanga😬😬😬
 
Mbeya moja ya majiji yenye gharama nafuu ya maisha📌
 
Ni kweli mji haukuwekwa kwenye mipango miji kwa sababu maeneo yaliyojengwa kiholela yalijengwa tangu kitambo Sana lkn mitaa inayondelea saiz imepangwa vizuri,, na mpango was kulipanga upya jiji upo tangu mwaka juzi ko upo kwenye michakato,,nazani ikianza kujengwa hiyo barabara ndo wataunganisha kwa hiyo ni swala la mda tuu lkn mipango miji kwa hapo mbeya wazembe Sana Yani mpka kero sijui kwa nn,,,
 
Nilishangaa siku mnyakyusa anamwambi Msukuma kua mshamba
 
Vigezo vya mji kuwa jiji ni lift!?
Nyie wabongo mnaweka nini vichwani mwenu?
Mkuu wa wilaya na mwenye jengo la hiyo lift (kama kweli walikuwa wanazindua lift) huo ni ushamba,, lakini kama walikuwa wanazindua jengo ila mtoa post akaamua kuongeza chumvi,, ushamba unabaki kwako wewe unayeshangaa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Point yangu ni moshi ndo iwe jiji harafu Kilimanjaro ibaki kua mkoa.
Bora sema Kilimanjaro iwe jiji then moshi yawe makao makuu ya jiji•
Nop sio hivyo mkuu, mfano mbeya ni jiji ila wilaya zingine mkoa wa mbeya haziko kwenye mipaka ya Jiji,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…