Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

LIFT YA KWANZA JIJI LA MWANZA ni katika Jengo la VICTORIA FEDERATION SIKU HIZI LINAITWA JENGO LA NYANZA COPERATIVE NA HIYO ILIKUWA 1957 wakati huo Mwl. anavaa kapula na Paul Bomani anavaa suti na kishatoka maulaya kitambo.
Jengo la pili Bugando Hospital.
 


Duuuuh majanga.....kuna mshkaji nilisoma nae MLIMANI 5yrs ago kwa jinsi alivokua anaisifia ki ukweli siez amini kwamba mbeya hawajawahi kuwa hata na gorofa ynye lifti kusaidia japo walemavu....
 
duuuuh majanga.....kuna mshkaji nilisoma nae mlimani 5yrs ago kwa jinsi alivokua anaisifia ki ukweli siez amini kwamba mbeya hawajawahi kuwa hata na gorofa ynye lifti kusaidia japo walemavu....

magorofa yenyewe ya kuweka lift yapo???!!!!
 
Aibu kwa kweli akina Atombile mwakitako mmetoa povu leo! Nyie bado xana

Teh teh teh!!
Bila shaka leo jirani yangu mmoja mjivuni flani hivi anaitwa Mzee Mwakafyokolewa Mwakitombile atakuwa kafurahi sana kwa ujio wa lift ndani ya GreenCity!
 

Moshi nilipanda lift 1999 pale Kahawa House!!!.......
 
Mbeya kiroho safi haikupaswa kuwa hata MJI labda ingekuwa tu HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…