Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ndio ampelekee bila samaki.. au yule samaki huwa ni wa matangazo tu, maana wengi wanaopromote naonaga wanakula nyanya tu yeye wanamkwepaUkute hiyo mihogo kapika Aslay wa Coco Beach
Samaki anakuja nao HecheNdio ampelekee bila samaki.. au yule samaki huwa ni wa matangazo tu, maana wengi wanaopromote naonaga wanakula nyanya tu yeye wanamkwepa
Huyu afande wa mbele sura yake inajuta kuwa afande kwenye nchi ya KUSADIKIKA
Aisee.. au ndio chakula cha kianaharakati.. ili aweze kustahimiliSamaki anakuja nao Heche
Baadae ya hii KESI au hizi KESI za TL kuisha, watakua wamejifunza pakubwa KIASI naamini watabadilikaSijui ni lini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitakuja kuelimika na kuacha kutumika kisiasa
Unadhani watawala wajinga. Yaani wanirecruit kama Mimi hivi niwe mtu wa kutii amri yoyote ile kutoka juu. Thubutuuuuuu...!Sijui ni lini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitakuja kuelimika na kuacha kutumika kisiasa
Afande kapiga zake visungura 😁😊Huyu afande wa mbele sura yake inajuta kuwa afande kwenye nchi ya KUSADIKIKA
Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea leo, Julai 22, 2026, katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam.
Fuatilia mwenendo wa Kesi: Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Kesi hiyo inahusisha madai ya ukiukwaji wa haki ya faragha pamoja na madai kwamba mazungumzo ya siri kati ya mawakili na mteja wao hayaruhusiwi kufanyika kwa faragha wakati wa ziara gerezani.
Uyo lile tumbo ni miogo tu yakutatua Tatizo lake,
Ukikiuka kiapo cha utiii/ kiapo cha nidhamu jeshini.Unadhani watawala wajinga. Yaani wanirecruit kama Mimi hivi niwe mtu wa kutii amri yoyote ile kutoka juu. Thubutuuuuuu...!
In fact,Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea leo, Julai 22, 2026, katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam.
Fuatilia mwenendo wa Kesi: Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Kesi hiyo inahusisha madai ya ukiukwaji wa haki ya faragha pamoja na madai kwamba mazungumzo ya siri kati ya mawakili na mteja wao hayaruhusiwi kufanyika kwa faragha wakati wa ziara gerezani.
🤣🤣 unazingua mkuu!Huyu afande wa mbele sura yake inajuta kuwa afande kwenye nchi ya KUSADIKIKA
Daaah kuna sehemu kuna mihogo firigisi ni hatari mno.Siku hizi Kuna mihogo makange ,mihogo samaki, mihogo mishikaki
Inategemea na mtawala aliyepo madarakani, tukipata mtawala mjinga kama huyu wa sasa hv ndio matatizo hayo yanaibuka ya 'maagizo kutoka juu' mahakamani kama ilivyo kwenye kesi ya Lissu!.Sijui ni lini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitakuja kuelimika na kuacha kutumika kisiasa
Kuna kazi unatakiwa ujipime sana kabla ya kuzisomea. Hapo hata utamu wa msahahara hauoni kabisa!🤣🤣 unazingua mkuu!