PICHA: Lissu apelekewa Mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana

Kuna kazi unatakiwa ujipime sana kabla ya kuzisomea. Hapo hata utamu wa msahahara hauoni kabisa!
Huu ni wito, purpose of life...anatusaidia hata kama hatafikia lengo ila kuna standards ana set. Bila watu kama hawa duniani huenda leo tungekuwa tunalima katani,pamba kwa mijeledi.

Huyu utamu wa mshahara na maisha alishapata sana, hapa anafurahia kazi anayoifanya, kupiga tochi katika giza. Anaweza tu kuamua kuingia agreement na hao akawaambia haya nipeni bilioni 6, nastaafu siasa kabisa, na mambo yakafanyika.
 
Baadae ya hii KESI au hizi KESI za TL kuisha, watakua wamejifunza pakubwa KIASI naamini watabadilika
Anayeweza kujifunza sio mdanganyika.
Kwa chief Mangungo wa Msowelo ingetosha sana kujifunza madhara ya kuuza Nchi kwa kipande cha kioo.
 
Mkuu, asante kwa mchango wako lakini mimi nilikuwa simzungumzii Lissu na kazi yake iliyotukuka. Nazungumzia kazi kama ya uafande hususani wa nchini Malawi.
 
Ipo siku kila mhogo hapo utageuka kuwa paja la bata na watu hawataamini!
 
Sijui ni lini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitakuja kuelimika na kuacha kutumika kisiasa
Huwezi kuvitenga na siasa maana vimefunga ndoa na Ccm.

Hivyo ni mwili mmoja na Ccm.
 
Katika maoni yangu Lissu anafaa kuwa professor wa sheria , toka ameanza kujiteteta mwenyewe ndio nimejua Lissu kwa sasa hana mtu wa kuweza kusimama nae mahakamani, jamaa anatupeleka shule ya sheria kwa vitendo hata sisi vihiyo, amenikumbusha enzi za marehemu Shaykh Murtaza Ahmed Abdulrasul Lakha ,Lamwai, Mabere Marando. Kwa sasa kila nikiangalia simuoni mtu kama Lissu hapa Bongo .Nimemuweke Lissu kwenye kiwango cha wanasheria machachari kwa sasa kule Kenya akina Orengo na Mzee Khaminwa, lakini kwa hapa hakuna labda kwa mbali ambaye angeweza kufuata nyayo ni dada yetu aliyekimbilia USUPUKA na kulewa madaraka kabla hajaangukia pua.
 
Wewe nawe,huchoki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…