M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Jul 23, 2026 #41 mjingamimi said: Sijui ni lini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitakuja kuelimika na kuacha kutumika kisiasa Click to expand... Tatizo sio kukosa elimu. Wana elimu ila nguvu ya ubinafsi imewazidia.
mjingamimi said: Sijui ni lini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitakuja kuelimika na kuacha kutumika kisiasa Click to expand... Tatizo sio kukosa elimu. Wana elimu ila nguvu ya ubinafsi imewazidia.
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,860 Reaction score 12,071 Jul 23, 2026 #42 Mzee Rufiji said: Ukute hiyo mihogo kapika Aslay wa Coco Beach Click to expand... Wamesahau Ile mishikaki midogo kama ya karanga! Na kama siyo paka basi ni ya ma dog wazururaji!
Mzee Rufiji said: Ukute hiyo mihogo kapika Aslay wa Coco Beach Click to expand... Wamesahau Ile mishikaki midogo kama ya karanga! Na kama siyo paka basi ni ya ma dog wazururaji!
U URA WAZA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2025 Posts 483 Reaction score 941 Jul 23, 2026 #43 Dr am 4 real PhD said: Ukikiuka kiapo cha utiii/ kiapo cha nidhamu jeshini. Nakuhakikishia utapelekwa ile safari ambayo watu wakiendaga hawarudii... Click to expand... Anajiongelea tu huyo anadhani ni kama kumbishia mmewe nyumbani
Dr am 4 real PhD said: Ukikiuka kiapo cha utiii/ kiapo cha nidhamu jeshini. Nakuhakikishia utapelekwa ile safari ambayo watu wakiendaga hawarudii... Click to expand... Anajiongelea tu huyo anadhani ni kama kumbishia mmewe nyumbani
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,860 Reaction score 12,071 Jul 23, 2026 #44 mdogoee said: Kwa miogoo hii mikavu kavu uyo Mjomba akitoka ndani tu mbio Ulaya 🤠 Click to expand... Sina mbavu😅😂🤣😆
mdogoee said: Kwa miogoo hii mikavu kavu uyo Mjomba akitoka ndani tu mbio Ulaya 🤠 Click to expand... Sina mbavu😅😂🤣😆