Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

the night come for us ni movie kali wanachinjana htr xnaaaa hii kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya mwaka gani hii mkuu? Niitafute?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
kuanzia 2005 kurudi nyuma huko but ni nzuri. Mel gibson kacheza humo, playboy aliyepata uwezo kusikia mawazo ya wanawake!.
 
Wewe zote hizi umeangalia?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo Mimi nimeangalia IP Man tuu. Tena sijui zipo hadi 3 sikumbuki vizuri.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mamaa nikisema mm ni muvi eater elewa... ukiniacha na hela utazikuta salama ila ukiniacha na muvi Heheee

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Ndio hiyo hiyo kuna namba mbili yake ndio kali saidi tena

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Ni kweli mkuu. .
Ila hao vijana sasa hivi hawana mpinzani asee wako moto mbaya!!
Umeangalia The bodyguard? (Sio ya Jet Li) yule jamaa nae yuko vizuri

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Iko kipande nakielewa sana kuna mkono palee hatariii

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Pia kuna huyu mhuni wakuitwa Mad Dog.... Ukimpa uwanja hana ajizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Simjui huyu aseee... ila huyu wa vajra ukicheki mkono aliotoa pale wanataka kumchoma moto yule mama kwenye kung fu hustle nampa salute.. walitembeza kifinyo ataree akiwa ns wale wazee wawili

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…