Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

Sijaechek aisee...

Uliiangalia "The night come for us" na "paradox?"
Paradox, tony alicheza kama special appearance ila alifanya kazi ya maana sana... While TNCUS- Iko aliwakilisha uzuri japo hakupewa uwanja sana wa kufanya vitu vyake....
Idea yao hio movie kukusanya star wote hao ni kucounter idea ya expendables na ndio maana kulitokea figusi flan, picha likacheleweshwa na s unajua hollywood wanajikuta wababe wa mchezo... But all in all Iko anakimbiza sana kipande cha Thailand na Asia kwa ujumla ila hatuwez kuwasahau akina Tony na wenzie as wana ladha adimu kabisa kwenye tasnia hii ya kipondo[emoji1491]

Sent using Jamii Forums mobile app
the night come for us ni movie kali wanachinjana htr xnaaaa hii kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya mwaka gani hii mkuu? Niitafute?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
kuanzia 2005 kurudi nyuma huko but ni nzuri. Mel gibson kacheza humo, playboy aliyepata uwezo kusikia mawazo ya wanawake!.
 
Wewe zote hizi umeangalia?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo Mimi nimeangalia IP Man tuu. Tena sijui zipo hadi 3 sikumbuki vizuri.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mamaa nikisema mm ni muvi eater elewa... ukiniacha na hela utazikuta salama ila ukiniacha na muvi Heheee

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Raid of redemption ni ile Inaanza jamaa anaswali?
Halafu wanaenda kumwokoa jamaa mmoja kwa wale wauza madawa? Baada ya kuwaangamiza yule jamaa anabaki kule kule ( anagoma kuondoka) kwa sababu alishapazoea?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ndio hiyo hiyo kuna namba mbili yake ndio kali saidi tena

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Sijaechek aisee...

Uliiangalia "The night come for us" na "paradox?"
Paradox, tony alicheza kama special appearance ila alifanya kazi ya maana sana... While TNCUS- Iko aliwakilisha uzuri japo hakupewa uwanja sana wa kufanya vitu vyake....
Idea yao hio movie kukusanya star wote hao ni kucounter idea ya expendables na ndio maana kulitokea figusi flan, picha likacheleweshwa na s unajua hollywood wanajikuta wababe wa mchezo... But all in all Iko anakimbiza sana kipande cha Thailand na Asia kwa ujumla ila hatuwez kuwasahau akina Tony na wenzie as wana ladha adimu kabisa kwenye tasnia hii ya kipondo[emoji1491]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu. .
Ila hao vijana sasa hivi hawana mpinzani asee wako moto mbaya!!
Umeangalia The bodyguard? (Sio ya Jet Li) yule jamaa nae yuko vizuri

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Iko yupo unique kwenye free zone, akikuta na panga ndio analokuuwa nalo... Chek scene zake za Raid2.... Kitchen scene na ile anapigana na yule lady hammer.... But still kuna watembeza mkono wa maana hapo Thai, Hong KoKong, Indonesia na Bangladesh...

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko kipande nakielewa sana kuna mkono palee hatariii

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Pia kuna huyu mhuni wakuitwa Mad Dog.... Ukimpa uwanja hana ajizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Simjui huyu aseee... ila huyu wa vajra ukicheki mkono aliotoa pale wanataka kumchoma moto yule mama kwenye kung fu hustle nampa salute.. walitembeza kifinyo ataree akiwa ns wale wazee wawili

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
cover ya john wick please da vi
072d9820e3d040e18691d2b974e309ab.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom