Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

Hakuna movies kati nazo zielewa kama akiwa Nicolaus cage huwa na changamka sana na si boeki sijui kwa nini
 
Jamani aliyeicheki Joker huko udisaporani atupe Updates.. Imagine imeachiwa jiji la Venice tu ila imeshapiga karibia $M90. Afu IMDB inasoma 9.8
 
Cast ya suicide squad hyo....
Director James Gunn
Will Smith hatarudi
Screenshot_20190923-085722.jpeg
 
Iko uwais ni Indonesian yule mkuu.
Wala sio Mthailand.
But all at all anajua jamaa japokuwa Thonyjaa ni mwisho wa matatizo.
Sijaechek aisee...

Uliiangalia "The night come for us" na "paradox?"
Paradox, tony alicheza kama special appearance ila alifanya kazi ya maana sana... While TNCUS- Iko aliwakilisha uzuri japo hakupewa uwanja sana wa kufanya vitu vyake....
Idea yao hio movie kukusanya star wote hao ni kucounter idea ya expendables na ndio maana kulitokea figusi flan, picha likacheleweshwa na s unajua hollywood wanajikuta wababe wa mchezo... But all in all Iko anakimbiza sana kipande cha Thailand na Asia kwa ujumla ila hatuwez kuwasahau akina Tony na wenzie as wana ladha adimu kabisa kwenye tasnia hii ya kipondo[emoji1491]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko mbioni hiyo 2020 inatoka.
Huyo dem Mila Jovovich ni nyoko mammaye.
Yani sijaona film actress kama huyu ulimwenguni kote.Yani yeye ni female messi of film.
Kama ulishawahi itizama Resident evil 1 to 6 na sasa ya saba iko njiani.
Hii sijawahi ions
Asa hiyo residents evil 7 sijui itakua na utam upi.
Na hii monster hunter ikitoka itajaza watu Cinemax si mkuki wala si Aura kote kote.
MV5BNDQ0MWI3MmEtMzM0OC00Y2ViLWE4MDItMzNhNmY1ZTdjMWE2XkEyXkFqcGdeQXVyMTQxNzMzNDI%40._V1_UY1200...jpeg
 
Kuna mzigo unaitwa Gemin man umechezwa na Will Smith
Unahusisha human clone, ni shiida
 
Nenda mcity wanaonesha, jamaa wamemclone will Smith wametoa copy zake mbili ni shida

Mmoja kalelelwa kokawaida mwingine kama weapon wanabonda balaa
Yaani naisubiri mno... sijui utatoka lini torrent
 
Back
Top Bottom