Picha Live: Msiochoka kumsema Makonda haya huyu hapa

🤔
 
Vipi Makonda nae anatumia alikasusu?
 

Jumbe. ...it's too late.

Point of no return.

...things will never be the same again.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiih lol
 
Bakwata si waislam halisi ujue hiyo ni taasisi ya lumumba
 
Bakwata si waislam halisi ujue hiyo ni taasisi ya lumumba
Ni Bora Kwa Muungwana Ukauficha Ujinga Mkuu Wangu.

Wewe Una Kipimo Cha Kuupima Uislam Sahihi?!!!

Looh Kweli kuishi kwingi kuona mengi........

Msijiongelee tu kama watoto....Yaani kwa kinywa kipana unasema UISLAM SAHIHI unapimwa na TAASISI ZA WAISLAM......

Yaani Hizi Taasisi Za Kiislam Tulizonazo Tanzania,Kuna MOJA ama zaidi ya MOJA ndizo zinazoubeba UISLAM SAHIHI........duuh

Mkuu wangu nakushauri tena uendelee kuwa na hamu na ghamu ya kujifunza,Kwani bado UNATATIZIKA na hwenda UNATATIZWA na wapotoshaji juu ya Hayo Mambo.

Kajifunze kitu kinachoitwa POLITICAL ISLAM.....humo ndimo wapotoshaji wanaoipinga BAKWATA wamejaa na kughurika kupita kiasi.


Kijana Muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole
 
Nikutoe tongotongo tu mkuu, CCM ina misikiti na makanisa yake hilo limekuwepo tangu enzi ya Nyerere.

Kama hauamini basi baki hivyo hivyo ila usieneze uongo kuwa Makonda aliwapenda waislam kisa kachangia bakwata
 
Nikutoe tongotongo tu mkuu, CCM ina misikiti na makanisa yake hilo limekuwepo tangu enzi ya Nyerere.

Kama hauamini basi baki hivyo hivyo ila usieneze uongo kuwa Makonda aliwapenda waislam kisa kachangia bakwata
Mkuu Hunitoi Tongo Wala Konjo...Wewe Ndiye Uenezaye Uongo Na Hilo Silo Suala La Mimi Kuamini...Bali Umependa Kujifurahisha Kwa Ulitakalo.Misikiti Na Makanisa Ni Nyumba Za Ibada Kumuabudu Mwenyezi Mungu,Sasa kwa Kinywa Kipana kilichojaa Urongo Unatuambia Kuwa CCM Ina Misikiti Yake😂😂😂,yaani Humo Ndani Ya "hiyo Misikiti Yake" Huabudiwa CCM,Katiba na Ilani Yake"?!!.
Pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…