Picha Live: Msiochoka kumsema Makonda haya huyu hapa

Picha Live: Msiochoka kumsema Makonda haya huyu hapa

Leo Ngojea Niseme...

Makonda ANAKAANGWA na UWEZO WAKE MKUBWA WA KIUONGOZI.

Nyota Nyota Nyota ya Makonda imemfanya awe na UADUI na kila Mmoja mwenye roho ya korosho katika haya Mambo yetu ya SIASA......

Huko Nyuma Wako waliopendwa Sana na MARAIS waliokuwepo madarakani kwa KUSIFIWA NAO na kutaka WAWE MIFANO kwa wengine juu ya uchapa kazi wao ULIOTUKUKA....hayo yalipelekea WAKAKEBEHIWA KUZODOLEWA KUKASHIFIWA KUVUNJIWA HESHIMA na hata kutishwa kuhujumiwa nafsi zao....MIFANO iko MINGI mno.....

Mifano IPO.....ya kutosha.

Nyota ya KIUONGOZI ya Makonda ni kubwa Sana ZAIDI ya UMRI WAKE na pengine hata zaidi ya UWEZO WAKE UPSTAIRS(intelligence).......

Kipindi Cha marehemu mzee Sitta(mola amlaze pema peponi Amin) Makonda alikuwa na MAADUI wakubwakubwa kisiasa........
Watu wakasema labda ni kwa sababu AMEKUWA na UKARIBU wa kirafiki na MAADUI wa "watu"......

Hali hiyo haikupunguza UKALI WA NYOTA YAKE na pamoja ya yote HAIKUMRUDISHA nyuma.....Kuna wakati alisimama peke Yake.....

Huko TAHLISO ameshawahi kusimama peke Yake....
Huko SHIRIKISHO LA CCM VYUO VIKUU ameshawahi kusimama peke Yake......
Kwenye VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA NA SHISHA ZENYE BANGI alisimama peke Yake......
Akinamama waliotelekezwa na wazazi wenzao,alisimama peke Yake.....
......,..,.,..............
.........................
........................
..............,.........
List ya ALIYOFANYA ni NDEFU............nako alisimama peke Yake.

Sishangai na sitomshangaa AKIZISIMAMIA NDOTO ZAKE...NDOTO ZAKE PEKE YAKE......

Paul Christian Makonda anaponzwa na Nyota yake Kali na Kaliba yake Kuu KIUONGOZI.

Siempre Siempre CCM
Hasta la Victoria CCM.

Muuza Al Kasus Tandale kwa Mtogole.
Kama ukimuandika mumeo kwa kumsifu hivi mtafika mbali sana
 
sasaivi anaishi kama panya anakimbikakimbia kujificha, sijui ni seme swala , anajifichaficha sio yule alisema atafukuza watu kwenye mkoa wake aisee. hata gym atakuwa ameacha kwenda sasa. kiburi si maungwana.
Simuombei mabaya sababu mfumo wetu ndiyo wenye shida na matatizo, mfano mwingine ni Job leo hatujui yuko wapi yote haya ni kwa sababu ya mfumo wetu siyo mzuri.
 
Simuombei mabaya sababu mfumo wetu ndiyo wenye shida na matatizo, mfano mwingine ni Job leo hatujui yuko wapi yote haya ni kwa sababu ya mfumo wetu siyo mzuri.
job hana shida yeyote, ndio maana alikuwa na kiburi kusema anayo nguvu kutompa mbunge yeyote nafasi ya kuongea na hamfanyi chochote. kwasababu sasaivi anakula 80% ya mshahara anaoupokea Tulia. na marupurupu kibao. hana mawazo. anachokosa ni uspika tu ila ataishi fresh hadi anarest. ila wanatakiwa kuwa karibu naye sana ndugu zake wamfariji kwasababu cheo ni kitamu sana, ukikikosa hata kama una hela, unaweza kukaribisha utabiri wa Lema.
 
Back
Top Bottom