Picha Live: Msiochoka kumsema Makonda haya huyu hapa

Kama ukimuandika mumeo kwa kumsifu hivi mtafika mbali sana
 
sasaivi anaishi kama panya anakimbikakimbia kujificha, sijui ni seme swala , anajifichaficha sio yule alisema atafukuza watu kwenye mkoa wake aisee. hata gym atakuwa ameacha kwenda sasa. kiburi si maungwana.
Simuombei mabaya sababu mfumo wetu ndiyo wenye shida na matatizo, mfano mwingine ni Job leo hatujui yuko wapi yote haya ni kwa sababu ya mfumo wetu siyo mzuri.
 
Simuombei mabaya sababu mfumo wetu ndiyo wenye shida na matatizo, mfano mwingine ni Job leo hatujui yuko wapi yote haya ni kwa sababu ya mfumo wetu siyo mzuri.
job hana shida yeyote, ndio maana alikuwa na kiburi kusema anayo nguvu kutompa mbunge yeyote nafasi ya kuongea na hamfanyi chochote. kwasababu sasaivi anakula 80% ya mshahara anaoupokea Tulia. na marupurupu kibao. hana mawazo. anachokosa ni uspika tu ila ataishi fresh hadi anarest. ila wanatakiwa kuwa karibu naye sana ndugu zake wamfariji kwasababu cheo ni kitamu sana, ukikikosa hata kama una hela, unaweza kukaribisha utabiri wa Lema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…