Picha: Maelfu ya wananchi wa Nzega walivyompokea Rais Samia

Huyu mama kuna watu anawakosesha usingizi haki ya Mungu. Anawakosesha vibaya sana, wamebaki wamefura tu.
 
Hawa watu siyo kwamba wote ni wenyeji wa Nzega. Wnatoka wilaya mbaimbali za mkoa wa Tabora. Mfano mm na wenzangu 120 tumebebea kutoka wilaya ya Skonge
🤣🤣 Wengine wamebebwa toka Igunga,Urambo,uyui,kaliua
 
Wakitoka hapo wanaenda kukamuliwa fedha zakulipa bilion 75 za wajanja baada yakulishwa matumaini hewa.wajinga ndio waliwao.
 
Samia atapata kashikashi kidogo Mbeya,Arusha na Songwe kidogo ila kwingine kote atazoa kura za kuzoa.

Yaani kama Lisu alipata zile Kwa Magufuli saizi hapati chochote ameshakuwa liability
 
Wanaccm sio wananchi? Hebu tupe tofauti Kati ya wananchi na ccm
Sio wananchi ni ma ccm!.
Wananchi wasingekaa kwa matabaka wengine wakae kwenye mahema wasichomwe na jua wengine wasimame juani!
Hizo ni tabia za ubinafsi za ma ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…