Picha: Maelfu ya wananchi wa Nzega walivyompokea Rais Samia

Picha: Maelfu ya wananchi wa Nzega walivyompokea Rais Samia

Huyu mama kuna watu anawakosesha usingizi haki ya Mungu. Anawakosesha vibaya sana, wamebaki wamefura tu.
 
Hawa watu siyo kwamba wote ni wenyeji wa Nzega. Wnatoka wilaya mbaimbali za mkoa wa Tabora. Mfano mm na wenzangu 120 tumebebea kutoka wilaya ya Skonge
🤣🤣 Wengine wamebebwa toka Igunga,Urambo,uyui,kaliua
 
Wakitoka hapo wanaenda kukamuliwa fedha zakulipa bilion 75 za wajanja baada yakulishwa matumaini hewa.wajinga ndio waliwao.
 
Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
View attachment 2784817
View attachment 2784823
View attachment 2784824
View attachment 2784825
View attachment 2784827
Samia atapata kashikashi kidogo Mbeya,Arusha na Songwe kidogo ila kwingine kote atazoa kura za kuzoa.

Yaani kama Lisu alipata zile Kwa Magufuli saizi hapati chochote ameshakuwa liability
 
Wanaccm sio wananchi? Hebu tupe tofauti Kati ya wananchi na ccm
Sio wananchi ni ma ccm!.
Wananchi wasingekaa kwa matabaka wengine wakae kwenye mahema wasichomwe na jua wengine wasimame juani!
Hizo ni tabia za ubinafsi za ma ccm.
 
Back
Top Bottom