Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

Kwa muonekanano hii picha imechukuliwa ktk video. Iachie video yenyewe ili tujionee kilichotokea, sio kutupa kile unachotaka wewe tukione.
 
Mmefeli kusoka picha huyo avutwi Ila wamamziwia inaonekana Kuna sehemu anataka kwenda kwa nguvu Askari wanamziwia Apo unatakiwa uangalie anaelekea wap Sio kutaka kudanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Mambosasa kakosea wapi!
  1. Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
  2. Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
  3. Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi
 
Mombojana alikua kituo cha mererani,kielimu ni mweupe ndio mana anaropoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamilisheni ushahidi kwa kuwapeleka hospital za nje ili mataifa ya juu yaone huo unyama zaidi
 
Sasa Mambosasa kakosea wapi!
  1. Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
  2. Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
  3. Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi
sawa hata kipindi cha wakoloni walio kuwa wanakula kwa njia za wakoroni waliwaona kina nyerere waovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elli,
Hapo naona kuna askari anajaribu kumrudisha asiende getini.[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…