Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi kumlaki na kumpokea shujaa wetu na Mama yetu wa Taifa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mapokezi ambayo yameshuhudia watu wakitokwa na machozi ya furaha bila kujizuia,mapokezi ambayo yameteka hisia za watu wengi sana.mapokezi ambayo yameonyesha namna Jemedari wetu na Mboni yetu ya Taifa anavyokubalika na kupendwa na watanzania.kila sehemu na kila eneo ni Mama Mama Mama Mama Mama.
Watu wamefurahi kumuona Rais Samia mpaka wanatamani apite juu ya migongo yao ,watu wana raha na furaha mpaka wanatamani akakanyage mashamba yao .wana furaha ambayo haijawahi kutokea.huwaambii kitu kwa Rais Samia.
wanampenda Mama mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Rais.wanatama wasukume hata gari lake au wafungwe kamba ili wawe wanalivuta kwa kamba gari alilopanda Mheshimiwa Rais kama sehemu ya kuonyesha upendo na heshima yao kwa Mheshimiwa Rais.
Kwa hakika usishindane na aliyepewa kibali na Mungu.Usishindane na aliyeinuliwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe,Usishindane na anayetetewa na kuongozwa na Mungu.Kiukweli Mungu yupo pamoja na Rais wetu na anaendelea kuwa ndani yake na kumuongoza katika hatua apigazo.na ndio maana Tafa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, upendo,utulivu na mshikamano miongoni mwa Watanzania kwa sababu linaongozwa na mtu Mwenye kibali cha Mungu na aliyeinuliwa na Mungu na kupewa baraka na Mungu..
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili