PICHA: Mapokezi Mazito ya Rais Samia Mkoani Katavi

PICHA: Mapokezi Mazito ya Rais Samia Mkoani Katavi

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi kumlaki na kumpokea shujaa wetu na Mama yetu wa Taifa Daktari Samia Suluhu Hasssan.

Mapokezi ambayo yameshuhudiwa watu wakitokwa na machozi ya furaha bila kujizuia,mapokezi ambayo yameteka hisia za watu wengi sana.mapokezi ambayo yameonyesha namna Jemedari wetu na Mboni yetu ya Taifa anavyokubalika na kupendwa na watanzania.kila sehemu na kila eneo ni Mama Mama Mama Mama Mama.

Watu wamefurahi kumuona Rais Samia mpaka wanatamani apite juu ya migongo yao ,watu wana raha na furaha mpaka wanatamani akakanyage mashamba yao .wana furaha ambayo haijawahi kutokea.huwaambii kitu kwa Rais Samia.

wanampenda Mama mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Rais.wanatama wasukume hata gari lake au wafungwe kamba ili wawe wanalivuta kwa kamba gari alipopanda Mheshimiwa Rais kama sehemu ya kuonyesha upendo na heshima yao kwa Mheshimiwa Rais.View attachment 3040443View attachment 3040444

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3040445View attachment 3040449
Usisahau kuweka number ya simu......DC Magoti kalitopola subiri uingie wewe soon
 
Miradi mingi sana.kaa karibu na Tv yako kufuatulia ziara ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ili ujionee Mwenyewe badala ya kusubiri kuhadithiwa.
Lucas wewe ni ME au KE?, Upo vizuri sana katika kuipamba serikali ya awamu ya sita, una ethusiasm ya hali ya juu.
 
Back
Top Bottom