Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Naona unawaza pesa tu.Kwahiyo hao mboga mboga wanakula perdiem kumpokea muheshimiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unawaza pesa tu.Kwahiyo hao mboga mboga wanakula perdiem kumpokea muheshimiwa?
Mkono wa serikali ni mrefu. Na hiyo ni kazi ya jeshi la polisiNimatumaini yetu atapati katika hifadhi ya katavi na atatoa neno juu ya yule kijana aliyetekwa akakutwa ametelekezwa katika hifadhi na kwa upendo akamlipia 35m kwaajili yabmatibabu hadi yuvisisiemu wakaweka bango la shukrani.Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu
Mimi ni msema kweli na siyo chawa .We nawe uchawa utakuua. Mwanaume kama Ashura wa Buza kwa uchawa
Yule mtoto albino gavoo hakukua na mkono?Mpaka Rais alipotoa tamko wote wakakamatwa?Mkono wa serikali ni mrefu. Na hiyo ni kazi ya jeshi la polisi
Mimi ni msema kweli DaimaAngalia utakufa na dhambi ya Uongo
Umesamehewa dhambi zako bure kabisa.nenda kwa amani.Aisee! Wewe nikijana wa hovyo kuwahi kutokea
Mkuu haya ni mapokezi ya Rais ama Mwenyekiti wa Chama?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi kumlaki na kumpokea shujaa wetu na Mama yetu wa Taifa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
Mapokezi ambayo yameshuhudiwa watu wakitokwa na machozi ya furaha bila kujizuia,mapokezi ambayo yameteka hisia za watu wengi sana.mapokezi ambayo yameonyesha namna Jemedari wetu na Mboni yetu ya Taifa anavyokubalika na kupendwa na watanzania.kila sehemu na kila eneo ni Mama Mama Mama Mama Mama.
Watu wamefurahi kumuona Rais Samia mpaka wanatamani apite juu ya migongo yao ,watu wana raha na furaha mpaka wanatamani akakanyage mashamba yao .wana furaha ambayo haijawahi kutokea.huwaambii kitu kwa Rais Samia.
wanampenda Mama mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Rais.wanatama wasukume hata gari lake au wafungwe kamba ili wawe wanalivuta kwa kamba gari alipopanda Mheshimiwa Rais kama sehemu ya kuonyesha upendo na heshima yao kwa Mheshimiwa Rais.View attachment 3040443View attachment 3040444
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3040445View attachment 3040449
Machozi yanibubujika baada ya kumuona mizengo pinda akimpokea kipenzi cha watzzzzzzzzziiiii raisi samia!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi kumlaki na kumpokea shujaa wetu na Mama yetu wa Taifa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mapokezi ambayo yameshuhudia watu wakitokwa na machozi ya furaha bila kujizuia,mapokezi ambayo yameteka hisia za watu wengi sana.mapokezi ambayo yameonyesha namna Jemedari wetu na Mboni yetu ya Taifa anavyokubalika na kupendwa na watanzania.kila sehemu na kila eneo ni Mama Mama Mama Mama Mama.
Watu wamefurahi kumuona Rais Samia mpaka wanatamani apite juu ya migongo yao ,watu wana raha na furaha mpaka wanatamani akakanyage mashamba yao .wana furaha ambayo haijawahi kutokea.huwaambii kitu kwa Rais Samia.
wanampenda Mama mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Rais.wanatama wasukume hata gari lake au wafungwe kamba ili wawe wanalivuta kwa kamba gari alilopanda Mheshimiwa Rais kama sehemu ya kuonyesha upendo na heshima yao kwa Mheshimiwa Rais.
Kwa hakika usishindane na aliyepewa kibali na Mungu.Usishindane na aliyeinuliwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe,Usishindane na anayetetewa na kuongozwa na Mungu.Kiukweli Mungu yupo pamoja na Rais wetu na anaendelea kuwa ndani yake na kumuongoza katika hatua apigazo.na ndio maana Tafa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, upendo,utulivu na mshikamano miongoni mwa Watanzania kwa sababu linaongozwa na mtu Mwenye kibali cha Mungu na aliyeinuliwa na Mungu na kupewa baraka na Mungu..View attachment 3040443View attachment 3040444
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Utakufa na dhambi ya uongo na unafki dogo. Elewa vitu halisi watu wanaelewa pia.Sasa wanyama pia kusisimka what is this? It’s a joke to your president.Mimi ni msema kweli Daima
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!Hakuna mchaga mjinga Wala maskini,lakini wewe vyote unavyo
Wanyonge ni neno la kipumbavu sana aliliendekeza mwendazake Kwa kutaka misifa TU!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi kumlaki na kumpokea shujaa wetu na Mama yetu wa Taifa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mapokezi ambayo yameshuhudia watu wakitokwa na machozi ya furaha bila kujizuia,mapokezi ambayo yameteka hisia za watu wengi sana.mapokezi ambayo yameonyesha namna Jemedari wetu na Mboni yetu ya Taifa anavyokubalika na kupendwa na watanzania.kila sehemu na kila eneo ni Mama Mama Mama Mama Mama.
Watu wamefurahi kumuona Rais Samia mpaka wanatamani apite juu ya migongo yao ,watu wana raha na furaha mpaka wanatamani akakanyage mashamba yao .wana furaha ambayo haijawahi kutokea.huwaambii kitu kwa Rais Samia.
wanampenda Mama mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Rais.wanatama wasukume hata gari lake au wafungwe kamba ili wawe wanalivuta kwa kamba gari alilopanda Mheshimiwa Rais kama sehemu ya kuonyesha upendo na heshima yao kwa Mheshimiwa Rais.
Kwa hakika usishindane na aliyepewa kibali na Mungu.Usishindane na aliyeinuliwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe,Usishindane na anayetetewa na kuongozwa na Mungu.Kiukweli Mungu yupo pamoja na Rais wetu na anaendelea kuwa ndani yake na kumuongoza katika hatua apigazo.na ndio maana Tafa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, upendo,utulivu na mshikamano miongoni mwa Watanzania kwa sababu linaongozwa na mtu Mwenye kibali cha Mungu na aliyeinuliwa na Mungu na kupewa baraka na Mungu..View attachment 3040443View attachment 3040444
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Mapokezi ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalamaMkuu haya ni mapokezi ya Rais ama Mwenyekiti wa Chama?
Bila shaka huelewi hata maana ya neno hilo.Wanyonge ni neno la kipumbavu sana aliliendekeza mwendazake Kwa kutaka misifa TU!
Eti “watu wanatamani apite juu ya migongo yao”?!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi kumlaki na kumpokea shujaa wetu na Mama yetu wa Taifa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
Mapokezi ambayo yameshuhudiwa watu wakitokwa na machozi ya furaha bila kujizuia,mapokezi ambayo yameteka hisia za watu wengi sana.mapokezi ambayo yameonyesha namna Jemedari wetu na Mboni yetu ya Taifa anavyokubalika na kupendwa na watanzania.kila sehemu na kila eneo ni Mama Mama Mama Mama Mama.
Watu wamefurahi kumuona Rais Samia mpaka wanatamani apite juu ya migongo yao ,watu wana raha na furaha mpaka wanatamani akakanyage mashamba yao .wana furaha ambayo haijawahi kutokea.huwaambii kitu kwa Rais Samia.
wanampenda Mama mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Rais.wanatama wasukume hata gari lake au wafungwe kamba ili wawe wanalivuta kwa kamba gari alipopanda Mheshimiwa Rais kama sehemu ya kuonyesha upendo na heshima yao kwa Mheshimiwa Rais.View attachment 3040443View attachment 3040444
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3040445View attachment 3040449
Daah siku wakijua wenzao wanalipwa kufanikisha hizo ziara sijui watajisikiaje!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa!
Vijana wa uvccm ndivyo walivyo! Wanadharau sana!Eti “watu wanatamani apite juu ya migongo yao”?!
Umerudi kutoka Korea eeh?
UVCCM ni tanuri la kupika viongozi wa sasa na baadayeVijana wa uvccm ndivyo walivyo! Wanadharau sana!
Yaani mapokezi yapo stage A-Z alafu wanajisifu!
Sikuwa Korea mimi.Eti “watu wanatamani apite juu ya migongo yao”?!
Umerudi kutoka Korea eeh?
Unajitoa ufahamu nitasema sana MAMA kizimkazi ni mama tozo hata wewe unajua na chawa wenzako mnajua chura kiziwi ni Mama tozoUwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais.Rais wetu siyo Mama tozo.