G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.